Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Inauma sana nikisoma huu uzi. Sijui ma'CCM yakisoma yanajisikiaje kuona watoto wa taifa hili teule wanaondoka kwenda ughaibuni kutafuta maisha tena kwa kuanzia chini kabisa wakati nchi hii ina kila kitu.

Unatakiwa kuwa mwanaharamu kuisapoti CCM.
KWELI...kabisa...ndugu yangu hawa mafisiem wameturudisha utumwani haki vile...
 
Mafala wale hawajiaminigi tu. Hakuna cha kuwakosea wala nini. Ila jambo zuri ni kuwa dada zao wanatukubali kinoma. Tukijitambulisha tu wanaloana.
ivi inawezena enh...kiukweli mademu wa kikenya hata...mimi nawaelewaga sana
 
Kama upo serious nenda kajiunge jeshi,France legion wanaachukua mtu yoyote duniani tafuta tu nauli na visa ya france uende wanakupokea vizuri unakula bure na accomodation unapata,muhimu uwe mtu wa mazoezi
Ni niwapi huko mkuu?, Na vigezo vp wanahitaji?
 
France wana jeshi linaitwa legion,hua wanachukua mtu yoyote yule,muhimu ni wewe kufika tu France unaenda ofisi zao zipo Paris na Aubagne. Hawana vigezo pale ni wewe kufika tu,ukifika unapewa sehemu ya kulala na chakula bure, unasubiria entry tests,amabazo ni nyingi kuanzia medical test,physical test na mengineyo ukipita test zote unapewa mkataba miaka mitano unakua mwanajeshi afu wanalipa vizuri kuanzia million 3 hadi 5 per month,ila uwe tayari kuhimili ubaguzi
 
Kwa mpambanaji ubaguzi syo kesi sna ili mradi upate haki yako, sasa mkuu vp kuhusu visa ya kufika huko France maana kupata hyo visa ya visiting ni ishu alafu visiting visa si hawalahusiwi kufanya kazi ?, Je itakuwaje?
 
Hyo program unaweza kupatiwa maelezo na maelekezo ktk ubalozi wao?
 
Kwa mpambanaji ubaguzi syo kesi sna ili mradi upate haki yako, sasa mkuu vp kuhusu visa ya kufika huko France maana kupata hyo visa ya visiting ni ishu alafu visiting visa si hawalahusiwi kufanya kazi ?, Je itakuwaje?
Visa unachukua ya tourist visa au ya short stay,yan muhimu ufike tu France,pale ubalozi wao Tanzania sidhan kama watakukubalu ukiwaambiwa direct nataka niende jeshi,bora uchukue tourist Visa afu ukifika France unaingia zile centers ukishaingia unakua chini yao kwaio hio Visa haitamatter tena ukishaingia
 
Inauma sana nikisoma huu uzi. Sijui ma'CCM yakisoma yanajisikiaje kuona watoto wa taifa hili teule wanaondoka kwenda ughaibuni kutafuta maisha tena kwa kuanzia chini kabisa wakati nchi hii ina kila kitu.

Unatakiwa kuwa mwanaharamu kuisapoti CCM.
Wacha vijana waishe wabaki wazee watozane vizuri
 
Ahsante , alafu nimeona wana walenga watu wa EU , Sasa kwa sisi wa Africa ikoje?, Hawawezi waka ku deport kisa umetoka Africa?
 
Hamna wanachukua Mtu yoyote hawajali umetokea wapi,ni nchi mbili tu ndo zinafanya hivi France naa Russia hawabagui mtu ukifika tu wanakuchukua muhimu uwe mtu wa zoezi ili upite test zao
 
Kama upo serious nenda kajiunge jeshi,France legion wanaachukua mtu yoyote duniani tafuta tu nauli na visa ya france uende wanakupokea vizuri unakula bure na accomodation unapata,muhimu uwe mtu wa mazoezi
Hahaha hahaha! Unapelekwa vita unafia huko
 
Hamna wanachukua Mtu yoyote hawajali umetokea wapi,ni nchi mbili tu ndo zinafanya hivi France naa Russia hawabagui mtu ukifika tu wanakuchukua muhimu uwe mtu wa zoezi ili upite test zao
Mimi ni mtu wa mazoezi ya gym, nimejazia si hapa!. Sasa naipataje visa mtu wangu, bora kufia Ulaya tu
 
[emoji23][emoji23]Sawa visa rahisi unaomba Tourist Visa ya short stay
Nimesoma mwongozo wao very interested! Labda niambie visa bei gani, nauli ya ndege bei gani na hotel za kufikia kwa siku bei gani huko Paris, assimilation method?.
 
Unajua kifaransa lakini??... Ukifika msalimie messi mwambie mtaani tunampenda Lewandowski

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Nimejifunza kitu
 
Hii nzuri sema inataka moyo
 
Nimesoma mwongozo wao very interested! Labda niambie visa bei gani, nauli ya ndege bei gani na hotel za kufikia kwa siku bei gani huko Paris, assimilation method?.
Tourist visa ya siku 90 ni Dola 100,nauli from dar to france andaa Dola 950 na kuendelea,afu hotels zao hazina gharama sana cheap ones zipo dola 23,30 per night
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…