mkuu ukiwa na passport hakuna mtu atakuzuia kwenda dubai,unawaambia tu unakwenda kama mtalii au unakwenda semina tu wanakuruhusu unakwea pipa hakuna habari sijui za kupitia kenya wala nini.
Na pia habari za agents achana nazo ni stressful sana,ukitumia agents kuna changamoto zifuatazo.
1.kuna kuliwa pesa na kazi usipate
2.Kuna kuliwa pesa na kupatiwa kazi ya ajabu ambayo hutoipenda na wakati huo utakuwa kifungoni hutoruhusiwa kuacha mpaka baada ya muda fulani upite.
So ni bora uende mwenyewe ukatafutie huko huko kazi uipendayo.
Sent from my SM-C7000 using
JamiiForums mobile app