X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #21
nitafurahi sana kaka...Nitaulizia leo jioni. Nitakushtua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitafurahi sana kaka...Nitaulizia leo jioni. Nitakushtua
ngoja kesho nitaenda mitaa hiyo...je kuna ofisi...?Posta mpya pale opposite na Embassy hotel jengo
dah...wameuchuna...ila kwa wenzetu wa kenya wana kikampuni...ambacho kinawakonect na watu kwenye ajira hizo bureeee...uwe na pastopt tu ya kusafiria tuNgoja waje kukupa muongozo...
ASANTE nitashukluru sana....ni mbongo...?Kule LinkedIn kuna jamaa anatafutia watu kazi za ulinzi Dubai mkuu ngoja nikutafutie username yake nikuwekee hapa.
NdioASANTE nitashukluru sana....ni mbongo...?
Ofisi ni mahali mtu aliposimamangoja kesho nitaenda mitaa hiyo...je kuna ofisi...?
Bongo Dar es Salaam ni mpeto wa kutakata, Ofisi ni mahali mtu alipisimama, ukizubaa tuu unaachwa feriOfisi ni mahali mtu aliposimama
Hata mhuri wa ikulu unapata haina gharamaBongo Dar es Salaam ni mpeto wa kutakata, Ofisi ni mahali mtu alipisimama, ukizubaa tuu unaachwa feri
Ni jambo jema jusema ukweli. UsaidiweNimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"
Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.
Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.
Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.
Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.
nashukuru najua hapa ni kisima cha maarifa...najua nipo karibu kusaidiwaNi jambo jema jusema ukweli. Usaidiwe
asante ubarikiwe sana ndugu yanguCheck pm
nisaidie kaka...bado nasubiriNdio
nisaidie kaka...bado nasubiri
Kaangalie profile yake LinkedIn myajenge huko jina lake hilo kwenye picha.nisaidie kaka...bado nasubiri
asante sana ubarikiwe sana kijanaKaangalie profile yake LinkedIn myajenge huko jina lake hilo kwenye picha.View attachment 1822584
asante nitakupa mrejesho ndugu yangu
Poa.asante nitakupa mrejesho ndugu yangu