Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Unachosema kuhusu hao Agents kuwepo Kenya ná Uganda ni kweli kabisa. Wakenya wako wengi sana Qatar na Dubai. Nilishangaa sana sikupata nafasi ya kukutana na mbongo hata mmoja. Basi nikawauliza inakuwaje wako wengi sana kule wanapataje kazi? Ndiyo wakanijibu kwamba nchini mwao kuna maagents ambao wameingia mikataba na waajiri au maagents wa huko kwa hiyo wao wanafanya taratibu zote za ajira na wakiridhika na mtu kwa ajira zilizotangzwa kule na waajiri au maagents basi wanafuata taratibu zote za kuingia nchi hizo kihalali ili mhusika akishafika kule na kukamilisha taratibu zote za kuingia anaanza kazi mara moja. Sidhani kama hao maagents wa Kenya na Uganda watakubali kumsaidia Mtanzania.
Inaonyesha watz wako na tabia flani ambayo inazingua, sema kwa upande wa wenzetu wa kenya wao wako na changamoto nyingi zakimaisha kuliko hata huku tz kwaiyo wakiskia kuna job mahali hawalazi damu
 
Unachosema kuhusu hao Agents kuwepo Kenya ná Uganda ni kweli kabisa. Wakenya wako wengi sana Qatar na Dubai. Nilishangaa sana sikupata nafasi ya kukutana na mbongo hata mmoja. Basi nikawauliza inakuwaje wako wengi sana kule wanapataje kazi? Ndiyo wakanijibu kwamba nchini mwao kuna maagents ambao wameingia mikataba na waajiri au maagents wa huko kwa hiyo wao wanafanya taratibu zote za ajira na wakiridhika na mtu kwa ajira zilizotangzwa kule na waajiri au maagents basi wanafuata taratibu zote za kuingia nchi hizo kihalali ili mhusika akishafika kule na kukamilisha taratibu zote za kuingia anaanza kazi mara moja. Sidhani kama hao maagents wa Kenya na Uganda watakubali kumsaidia Mtanzania.
Wanakuwaga wagumu sana maana wa bongo wengi wazinguaji, unakuta mtu hana hata passport halafu anaenda agent wa Kenya ..kwa hiyo wanawakataa..halafu pia wanaweka bei juu sana kwa watz, unakuta hadi USD 1000 uko wakati kwa mkenya mwenzake ni 100 tu.
 
USD 1000 kwa mbongo halaf hana ramani ni ngumu bora hiyo 100 inapatkanika
 
Njia rahisi ya kupata mishe huko ni kwenda mwenyewe kwa nauli yako na fedha za kujikimu kwa muda utakaokuwa unatafuta kazi,

Agent yyyte anayetaka pesa ili akufanyie mchongo wa kazi huko nje achana naye ni magumashi.. toka lini wewe ukahitaji house girl aje mjini kukufanyia kazi , harafu huyo anayekutafutia house girl, amuombe hela house girl ili apate kazi mjini? Huwa haipo hivyo ... haaa ma agent wanalipwa na kampuni... na wewe ndio bidhaa wanayoiuza!, hupaswi kulipia ..

Bora mtu ukaenda mwenyewe na kutafuta kazi yenye maslahi utakayoona itakufaaa..

Kila la kheri nikisepa nitakutag!!
 
Kabisa umesema ya ukweli uki tumia teknolojia utapata taarifa za kutosha bila hata hao madalali
 
Ndio hivyo mkuu ukipata taarofa sahihi na za kutosha , kisha ukwa na kiasi cha fedha kama 3mil baso unaweza kwenda kuranda randa na ukafanikiwa maana ukichek zile site google post za ajira ni kila siku
Mkuu ukisepa n tag pia na mm nipo kwa arakat za kusepa pia hope Mungu atatufungulia njiaaa tutakutana uko na kila kitu kitakuw sawaaa mkuuu
 
Back
Top Bottom