BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ni ngumu maana hao ni wakwe zangu, utiifu ni lazima syo ombi
Poa kamanda wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ngumu maana hao ni wakwe zangu, utiifu ni lazima syo ombi
Inaonyesha watz wako na tabia flani ambayo inazingua, sema kwa upande wa wenzetu wa kenya wao wako na changamoto nyingi zakimaisha kuliko hata huku tz kwaiyo wakiskia kuna job mahali hawalazi damu
Wanakuwaga wagumu sana maana wa bongo wengi wazinguaji, unakuta mtu hana hata passport halafu anaenda agent wa Kenya ..kwa hiyo wanawakataa..halafu pia wanaweka bei juu sana kwa watz, unakuta hadi USD 1000 uko wakati kwa mkenya mwenzake ni 100 tu.
Mtalalamika sana, ukweli ni kwamba Mbongo ukimsaidia lazima akulize!! Yaan waliosema "ukiona mahali pana chuki jua wema ulitangulia" hawakukosea hata kidogo.Mkuu sisi wabongo atupendan kbsa wewe cha msng apo komaa tafuta ella uingie na wewe uko jiandae kwa kila ktu pesa yako ya kujikimu wakat unatafuta ajira ndo muhmu zaid usimtegeme mbongo kbsa mkuu awez kukusaidia yeye anachotaka uendele kuwa bongo apa uteseke na uzd kumsujudia. Mim nina ushaid huo nina rafk yangu ambae nimekuwa nae udogon adi ukubwan nimesoma nae ila alipata zali yupo Canada ila kila nikimcheki anijibu lolote na message anazisoma fresh yaan anataka niwe namlilia shidaaa kla sku ila sio kunipa connection ya mm kuweza kufka Canada yupo canada ana miaka kma 7 ivi ila kesha jenga bonge la nyumba mtaani wazaz wake ndo wanaishi apo na wadogo zake anawasomesha fresh tuu Kwa iyo Mkuu usitegee msaada kutoka kwa mbongo ata sku moja atakusaidia anachokitaka yeye uendele kuteseka na kupauka na jua la bongo ili kusud uzd kumsujudia akutumie doller 50 ndio tulivo wabongo.
USD 1000 kwa mbongo halaf hana ramani ni ngumu bora hiyo 100 inapatkanika
Wewe upo wapi mkuu?Mtalalamika sana, ukweli ni kwamba Mbongo ukimsaidia lazima akulize!! Yaan waliosema "ukiona mahali pana chuki jua wema ulitangulia" hawakukosea hata kidogo.
Unamsaidia Mbongo na kazi unamtafutia, unampa connections zote!! Atachoanza ni fitna, zile connections ziwe zake wewe upoteze urudi Bongo mikono mitupu!! Ndiyo raha ya waswahili hiyo!!
Kuna mahali Asia huko tulishawishi timu ya kubebana wabongo!! Kilichotokea, si unajua mkishakaa wabongo wengi mahali!! Mnauwana wenyewe kwa wenyewe, huo mpango ukafeli
Mkuu sisi wabongo atupendan kbsa wewe cha msng apo komaa tafuta ella uingie na wewe uko jiandae kwa kila ktu pesa yako ya kujikimu wakat unatafuta ajira ndo muhmu zaid usimtegeme mbongo kbsa mkuu awez kukusaidia yeye anachotaka uendele kuwa bongo apa uteseke na uzd kumsujudia. Mim nina ushaid huo nina rafk yangu ambae nimekuwa nae udogon adi ukubwan nimesoma nae ila alipata zali yupo Canada ila kila nikimcheki anijibu lolote na message anazisoma fresh yaan anataka niwe namlilia shidaaa kla sku ila sio kunipa connection ya mm kuweza kufka Canada yupo canada ana miaka kma 7 ivi ila kesha jenga bonge la nyumba mtaani wazaz wake ndo wanaishi apo na wadogo zake anawasomesha fresh tuu Kwa iyo Mkuu usitegee msaada kutoka kwa mbongo ata sku moja atakusaidia anachokitaka yeye uendele kuteseka na kupauka na jua la bongo ili kusud uzd kumsujudia akutumie doller 50 ndio tulivo wabongo.
KUNA SEHEMU tunakosea lazima tujifunze kubadilika kwakweliDaah mkuu sijui nianzie wapi ila sisi watanzania ni watu wa kuuana sisi kwa sisi na hii ni ajabu, leo hii alhamis kuna mwanangu school mate kabisa yupo uarabuni na ana certificate tu ya biashara nimemuuliza alicho nijibu nikachoka hapo hapo
nilichokuja kugundua ni kuwa hao ulio wataja wameathiriwa sana na umasiki....umasikini ni mbaya sana ndugu yangu aswa ukiuendekeza...kenya ni masikini lakini ni masikini wasomi ambao wanachanganya umasikini na jeuri....wamejikubari na wapo teyari kupambana na umasikini wao...tz ni masikini lakini umasikini wetu umeambatana ana adui mkubwa nae ni UJINGA...Mzungu na Mwarabu watakusaidia unapopatwa na shida ila mbongo sasa may be wachache! Tena apate nafasi nzuri kama ofisini na awe bosi wako aisee utakimbia na utaiona kazi chungu.
Mbongo akiwa ofisini dunia yote yake, au anajiona kama yuko paradise vile....Mwafrika na mhindi ni kama baba mmoja ivi, wengi wao tabia zinaendana.
umesomeka kamandaKamanda, usiweke namba yako hadharani kila mtu aone, mfuate pm!
umesomeka kamanda
Japo sio saana ila Ukweli ni roho mbaya, ina tutesa sana roho ya kumuona mwenzako ana teseka alafu wewe una furahi ndio hio, hatuoni fahari tukifanikiwa watanzania woteKUNA SEHEMU tunakosea lazima tujifunze kubadilika kwakweli
Kasemaje huyo ndorobo?Daah mkuu sijui nianzie wapi ila sisi watanzania ni watu wa kuuana sisi kwa sisi na hii ni ajabu, leo hii alhamis kuna mwanangu school mate kabisa yupo uarabuni na ana certificate tu ya biashara nimemuuliza alicho nijibu nikachoka hapo hapo
HILO ndio lengo langu kubwa haswa tuombeane...tu ila kiukweli mimi sina roho ya kwaniniPrince Mhando ukipatq conection tupe na sisi kaka.
Eti yeye ana hangaika tu wakati kesha jenga , ana post madalala yake ktk page zake za social mediaKasemaje huyo ndorobo?
www.1kuwaitjobs.combado natafuta
kazi ipo kama upo serious nitafute jamaa atawafanyia interview ijumatatu means 12/7/2021Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"
Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.
Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.
Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.
Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.