Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"

Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.

Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.

Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.

Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.

Mkuu usitukimbie tupambane wote tu hapahapa..
 
Ajira zipo tena nyingi sna ikiwa mtu kapewa ajira na ana certificate tu vp wewe wa diploma au wewe dereva ?, hyo rafiki yangu alilamba mktaba wa miaka 5 na akawa ana u renew na hadi ninapoengea yupo huko huko, na ninauwakika ana miliki basi hz kama Costa
 
Mkuu sisi wabongo atupendan kbsa wewe cha msng apo komaa tafuta ella uingie na wewe uko jiandae kwa kila ktu pesa yako ya kujikimu wakat unatafuta ajira ndo muhmu zaid usimtegeme mbongo kbsa mkuu awez kukusaidia yeye anachotaka uendele kuwa bongo apa uteseke na uzd kumsujudia. Mim nina ushaid huo nina rafk yangu ambae nimekuwa nae udogon adi ukubwan nimesoma nae ila alipata zali yupo Canada ila kila nikimcheki anijibu lolote na message anazisoma fresh yaan anataka niwe namlilia shidaaa kla sku ila sio kunipa connection ya mm kuweza kufka Canada yupo canada ana miaka kma 7 ivi ila kesha jenga bonge la nyumba mtaani wazaz wake ndo wanaishi apo na wadogo zake anawasomesha fresh tuu Kwa iyo Mkuu usitegee msaada kutoka kwa mbongo ata sku moja atakusaidia anachokitaka yeye uendele kuteseka na kupauka na jua la bongo ili kusud uzd kumsujudia akutumie doller 50 ndio tulivo wabongo.
 
Yaani mkuu , mi nina binamu yangu yupo turkey miaka nenda rudi katembea arabuni huko Lebanon, Syria nk lakini hajawahi kumuita ndugu hata mmoja, pia kuna ndugu wa bibi wa mke wangu wao nusu waarabu kwa kuzaliwa hasa na baba yao ila mama yao alitokea huku , walienda huko zamani na baadhi ya watoto kwa maana ali olewa huko arabuni na alikuwa na watoto tayari hvo bibi wa mke wangu aka miss kwenda huko kwa kuwa alishapata mume hapa tayari , sasa hao wa huko duuh hatari roho zao , labda wakupe pesa tu
 
Nina ndugu yangu alikuwa anaunganisha watu kwenda huko uarabuni kufanya hizi kazi.

Ila ni kazi za hatari kwasababu waarabu wengi ni watu wenye roho mbaya sana. Na kazi nyingi kwa wanaume huko uarabuni zinafanywa na wahindi, pakistanis etc

Sasa unaweza usibaguliwe na mwarabu lakini ukabaguliwa na wahindi.

Utaratibu wa kazi huko ni kama wa kampuni za ulinzi au usafi zinavyofanya kazi hapa kwetu

Maana yake kuna makampuni ndio yanawachukua, then ndio yanawakodisha kwa maboss.

Challenge nyingine kubwa ni ukiajiriwa na kampuni ambayo wao wanachoangalia ni pesa. Wakishakupeleka nje, passport yako wameshachukua, hata boss aliyekuchukua akutese vipi wao wanajifanya hawaoni ilimradi wanalipwa.

Kazi nyingi huko ni za mashambani, ulinzi na vibarua vya ujenzi.

Acha kumtisha mwenzio...hakuna jamii isiyo na watu wenye roho mbaya, naweza sema huku na india wengi wao wana roho mbaya na katili...huko arabuni kama wana roho mbaya basi wafanyakazi wote wangerudi au kusikia wakifanyiwa mbaya...mwache akajaribu, hope atafanikiwa kuliko kukaa huku sehemu ya majungu na kufatiliana.
 
Yaani mkuu , mi nina binamu yangu yupo turkey miaka nenda rudi katembea arabuni huko Lebanon, Syria nk lakini hajawahi kumuita ndugu hata mmoja, pia kuna ndugu wa bibi wa mke wangu wao nusu waarabu kwa kuzaliwa hasa na baba yao ila mama yao alitokea huku , walienda huko zamani na baadhi ya watoto kwa maana ali olewa huko arabuni na alikuwa na watoto tayari hvo bibi wa mke wangu aka miss kwenda huko kwa kuwa alishapata mume hapa tayari , sasa hao wa huko duuh hatari roho zao , labda wakupe pesa tu

Au wanahofia mtaenda kuwapiga mimba watoto wao...maana wabongo hatari sana kamanda
 
Back
Top Bottom