X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
- #121
kiukweli ndugu yangu vigezo bado sina...ila kama huto jari naomba niiifadhi hii comment siku nitakapo kuwa nimeshatimiza vigezo...pakiwa na nafasi nyingine tafadhali sana nitaomba uniconsinder....bado nilirenew leseni yangu bado haijatoka na passpot pia bado japo ndani ya wiki ijayo naweza kuwa nimeipata passpot...ila kwa upande wa leseni sina uhakikakazi ipo kama upo serious nitafute jamaa atawafanyia interview ijumatatu means 12/7/2021
kazi ni ya udereva tax wa kampuni ambayo utakuwa unafanya kwa masaa 12 tu kwa siku.
mahitaji ni passport na leseni ya udereva class C.
Wadhamini wawili wanaofanya kazi serikalini.
mshahara ni 800$ ambayo utakuwa unalipwa kila mwisho wa mwezi.
Note:
kinachohitajika ni passport na driver licens tu,viza na vitu vingine vyote utalipiwa isipokuwa utakatwa 800$ kama gharama ya agent ambae atakuwa responsible kwa lolote utapokuwa huko dubai.
makato hayo ya agent yatafanyika kama ifuatavyo.
Baada ya kupewa viza na kupatiwa ticket yako ya ndege na kusaini mkataba ukiwa air port utatakiwa kumpa agent 200$ kama malipo yake ya kwanza na hizo 600$ utatakiwa kulipa kwa kukatwa 100$ kila mwisho wa mwezi kwa miezi 6.
na safari mnatakiwa mpaka tarehe 25 muwe mlishasafiri.
Note 2:
kuhusu usalama wa mwajiriwa ni kwamba mkataba wenu utakuwa signed chini ya wizara ya kazi na ajira na kutakuwa na sehemu ya ubalozi wa Tanzania na mnakoenda kusign.
pia mwishoni kutakuwa na wadhamini wa hiyo kampuni(mwajiri) ambao wanaishi masaki ambao watakuwa responsible kwa lolote litalowapata mkiwa kwenye ajira yenu dubai.
Nafasi zilikuwa 10 now bdo wawili so kama utakuwa na vigezo au interested
karibu pm ila hakikisha unavigezo husika.