Lovie Lady
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 2,826
- 4,652
👏👏👏Haya kazi kwenu sasa,mawakala ndo hao juu,tumia wakala unayempenda wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👏👏👏Haya kazi kwenu sasa,mawakala ndo hao juu,tumia wakala unayempenda wewe
Bado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadiliPrince Mhando naimani unacomment ukiwa pande za Qatar saivi maana Ma connection kama yote 🤣🤣🤣👋
Seriously 😒 kuna Kiongozi hapa katoa connection kama zote including number zao hao Ma Agents Mnyuke JrBado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadili
Asilimia kubwa ya hizo connection ni za kulipia...nimejitahidi kuzifatilia...Kuna baadhi nimelipia ada za kiingilio...Hadi Leo sijaitwa hata kwenye interview... Na nyingine unalipia more than 1m Kwa ajilii ya wao kukuunganisha na ajira...Yani mpaka mtu atoke nje Kwa sisi wanaume unatakiwa uwe na Zaidi ya 1.5m maana sijui Kuna kupimwa afya...mara chanjo sijui kibali taesa...Yani bila pesa hutoki...hapo ndipo nilipo kwamia Rafiki yanguSeriously 😒 kuna Kiongozi hapa katoa connection kama zote including number zao hao Ma Agents Mnyuke Jr
Umekwama wapi ndugu yangu
Aisee kwahiyo upigaji ni mwingi kuliko uhalisia 😒😒😒 pole jaman ila endelea kupambana ipo siku yako mambo yatakunyookea tu 🙏Asilimia kubwa ya hizo connection ni za kulipia...nimejitahidi kuzifatilia...Kuna baadhi nimelipia ada za kiingilio...Hadi Leo sijaitwa hata kwenye interview... Na nyingine unalipia more than 1m Kwa ajilii ya wao kukuunganisha na ajira...Yani mpaka mtu atoke nje Kwa sisi wanaume unatakiwa uwe na Zaidi ya 1.5m maana sijui Kuna kupimwa afya...mara chanjo sijui kibali taesa...Yani bila pesa hutoki...hapo ndipo nilipo kwamia Rafiki yangu
Yap nashukuru sana...Bado nApambana...Najua IPO siku nitatoboa TU...kikubwa ninayo passport yangu ya kusafiria hivyo Najua siku yoyote lolote linaweza kutokea ila Kwa hapa bongo awa maagent ni pasua kichwa...Kuna agent anaitwa COMPETITIVE Hadi kiingilio nimelipia huu ni mwezi wa 6 sasa hata kuitwa interview hajaniita...na siku naenda kujisajili nilienda na wenzangu kama wanne hivi...na wote tulilipia ada ya kujiunga ambayo ni 50k ya kitanzania...Aisee kwahiyo upigaji ni mwingi kuliko uhalisia 😒😒😒 pole jaman ila endelea kupambana ipo siku yako mambo yatakunyookea tu 🙏
Prince MhandoYap nashukuru sana...Bado nApambana...Najua IPO siku nitatoboa TU...kikubwa ninayo passport yangu ya kusafiria hivyo Najua siku yoyote lolote linaweza kutokea ila Kwa hapa bongo awa maagent ni pasua kichwa...Kuna agent anaitwa COMPETITIVE Hadi kiingilio nimelipia huu ni mwezi wa 6 sasa hata kuitwa interview hajaniita...na siku naenda kujisajili nilienda na wenzangu kama wanne hivi...na wote tulilipia ada ya kujiunga ambayo ni 50k ya kitanzania...
Ndio maana nimesema apo juu huenda akawa ni walewale wapigajiHuyu anahitaji hela ndefu sana km milion 9.5 kufanyia mtu mchakato pia sijaona update na ushuhuda wa mtu hata mmoja aliyemfanikishia safari otherwise ni mpiga kelele tu mtandaoni na msanii. Mimi nilishawasiliana naye,pia km milion 1.5 mtu imemkosa hizo bei za kina Dulla na wengineo za kwenda USA na Canada ni ghali mno. Kwenda uarabuni ni rahisi zaidi kuliko USA
Unataka kwenda nchi gani princesBado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadili
Huyo anataka kwenda hasa nchi za kiarabu ila hata ikitokea una connection ya nchi nyingine,Mpe ndg yetu akatimizr ndoto zakeUnataka kwenda nchi gani princes
Haipo WhatsApp. Hebu tupe hatua zake kwa watu ambao tupo Tanzania.Pia Kuna fursa ya kwenda Seattle-Marekani kwenda kusoma issue ya Healthcare for almost 2 weeks,Kisha hiyo shule ukimaliza inawatafutia kazi na ukipata ajira ujue rasmi karatasi utapata tu
Taasisi Inaitwa Home aide training
centre LLC ipo Seattle-Washington
Ada ni $770 na kama utakaa kwenye hostel za hiyo taasisi utaongeza $400 for those two weeks
Contact:+1 206 5922115
Pia unaweza kusomeshwa Bure na utawalipa baadae ukipata kazi,Kuna mtu yupo Kule namfahamu kasomeshwa Bure na sasa hv anawalipa coz kapata kazi
Ninazo njoo PMWakuu zile dollar 800 za kumlipa wakala zimepatiakana. Nani anayo namba ya agent genuine? Msaada wakuu
Mkuu ulipata mrejesho wowoteHaipo WhatsApp. Hebu tupe hatua zake kwa watu ambao tupo Tanzania.