princ kadur
Member
- Mar 12, 2020
- 62
- 54
Nakuja pia miuuNinazo njoo PM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja pia miuuNinazo njoo PM
Sio kweli kinachofanya wasifanikiwe sio kua na tegemezi bali kuhisi kua Mali zilizopo za urithi wao ndio wasimamizi wakuuNdiyo maana asilimia kubwa ya watoto wa kwanza kuzaliwa hawafanikiwi kimaisha!
Tukufate wap chief hata izo za TaiwanMimi nina za Taiwan
Mkuu kama mpaka leo hii unaweza kunipatia mimi ama upo katika nafasi unaweza kunipa huu mchongo naombaakazi gani unataka uarabuni?njoo inbox nikupe mchongo wa kazi Dubai International Airport ni semi skilled job(Airport cleaner,na Airport porter
Umefanikiwa kusepa mkuuNjia rahisi ya kupata mishe huko ni kwenda mwenyewe kwa nauli yako na fedha za kujikimu kwa muda utakaokuwa unatafuta kazi,
Agent yyyte anayetaka pesa ili akufanyie mchongo wa kazi huko nje achana naye ni magumashi.. toka lini wewe ukahitaji house girl aje mjini kukufanyia kazi , harafu huyo anayekutafutia house girl, amuombe hela house girl ili apate kazi mjini? Huwa haipo hivyo ... haaa ma agent wanalipwa na kampuni... na wewe ndio bidhaa wanayoiuza!, hupaswi kulipia ..
Bora mtu ukaenda mwenyewe na kutafuta kazi yenye maslahi utakayoona itakufaaa..
Kila la kheri nikisepa nitakutag!!
Passport uliipata kwa sh ngapi mkuuBado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadili
Nilitumia njia ya halali 150,000/=Passport uliipata kwa sh ngapi mkuu
Naomba unisaidie process zake mkuuNilitumia njia ya halali 150,000/=
Naomba unisaidie process zake mkuu
Ok nashukuru Sana mkuu, nitakutumia namb PMUnaanza Kwa kujaza fomu kwenye mtandao wao wa uhamiaji. Kwenye hiyo fomu utaapload.✓passport size yako hivi karibuni.
✓Barua ya utambulisho wa kazini kama inafanya kazi {hii ni muhimu inapunguza maswali}✓cheti chako Cha kuzaliwa
✓kama barua hapo juu huna utaweka barua ya utambulisho kutoka Kwa mtendaji wa mtaa unaoishi.
✓utaweka kitambulisho chako Cha nida haswa namba Kuna sehemu ya kuiandika mwanzoni kabisa.
✓cheti Cha kuzaliwa Cha mmoja wa wazazi wako.
✓kitambulisho Cha nida Cha mmoja wa wazazi wako.
Ukisha malizia kuijaza hiyo fomu itakuletea menu yenye control ya kulipia utailipia shilingi elfu 20.
Kama utakuwa na speed kubwa utaidownload hiyo fomu Kisha utaiambatanisha tena na hizo hardcopy ulizo ziupload. Hutokuwa na uwezo wa kudownload hiyo fomu kama hujailipia.
Utatembelea ofisi ya UHAMIAJI iliyo karibu naweza ukiwa na 130,000/= documents zako zikikaguliwa ukaulizwa vi maswali vya hapa na pale, usipo onyesha uoga wakazikubali watakupa control tena ulipe hiyo 130,000/= Kisha utapangiwa siku ya kwenda kuichukua passport Yako ya kusafiria.
N.b
Kuna mbinu nyingine nimeshindwa kuziandika ila ukipenda unaweza kunitumia namba Yako pm. Nika kuelewesha Kwa urefu Zaidi...!
Ni wap huko alikopata chakaView attachment 2776977
Niki kamilisha hii naleta mrejesho au mtu aje inbox tuyapange
Ni wap huko alikopata chaka
Mwambie atupe connectionTurkey