Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Prince Mhando naimani unacomment ukiwa pande za Qatar saivi maana Ma connection kama yote πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
Bado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadili
 
Bado nipo bongo ndugu yangu...kitu pekee huu Uzi umenisaidia ni kukamilisha passport yangu ya kusafiria TU...ila Bado sijapata connection Bado natafuta...and if unayo tafadhali naomba tujadili
Seriously πŸ˜’ kuna Kiongozi hapa katoa connection kama zote including number zao hao Ma Agents Mnyuke Jr

Umekwama wapi ndugu yangu
 
Seriously πŸ˜’ kuna Kiongozi hapa katoa connection kama zote including number zao hao Ma Agents Mnyuke Jr

Umekwama wapi ndugu yangu
Asilimia kubwa ya hizo connection ni za kulipia...nimejitahidi kuzifatilia...Kuna baadhi nimelipia ada za kiingilio...Hadi Leo sijaitwa hata kwenye interview... Na nyingine unalipia more than 1m Kwa ajilii ya wao kukuunganisha na ajira...Yani mpaka mtu atoke nje Kwa sisi wanaume unatakiwa uwe na Zaidi ya 1.5m maana sijui Kuna kupimwa afya...mara chanjo sijui kibali taesa...Yani bila pesa hutoki...hapo ndipo nilipo kwamia Rafiki yangu
 
Aisee kwahiyo upigaji ni mwingi kuliko uhalisia πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’ pole jaman ila endelea kupambana ipo siku yako mambo yatakunyookea tu πŸ™
 
Aisee kwahiyo upigaji ni mwingi kuliko uhalisia πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’ pole jaman ila endelea kupambana ipo siku yako mambo yatakunyookea tu πŸ™
Yap nashukuru sana...Bado nApambana...Najua IPO siku nitatoboa TU...kikubwa ninayo passport yangu ya kusafiria hivyo Najua siku yoyote lolote linaweza kutokea ila Kwa hapa bongo awa maagent ni pasua kichwa...Kuna agent anaitwa COMPETITIVE Hadi kiingilio nimelipia huu ni mwezi wa 6 sasa hata kuitwa interview hajaniita...na siku naenda kujisajili nilienda na wenzangu kama wanne hivi...na wote tulilipia ada ya kujiunga ambayo ni 50k ya kitanzania...
 
Prince Mhando
Mpaka hapo wote ni matapeli tu hakuna uhalisia wowote ule🫀🫀🫀

Kuna uyu anajiita Dullastar yuko Marekani..em mfatilie umsome ila nahisi nayeye atakua ni walewale tu Wapigaji



 

Huyu anahitaji hela ndefu sana km milion 9.5 kufanyia mtu mchakato pia sijaona update na ushuhuda wa mtu hata mmoja aliyemfanikishia safari otherwise ni mpiga kelele tu mtandaoni na msanii. Mimi nilishawasiliana naye,pia km milion 1.5 mtu imemkosa hizo bei za kina Dulla na wengineo za kwenda USA na Canada ni ghali mno. Kwenda uarabuni ni rahisi zaidi kuliko USA
 
Ndio maana nimesema apo juu huenda akawa ni walewale wapigaji
 
Maajent wengi wa kazi za USA na Canada wanataka sio chini ya Dollar 5000
 
Kwenda uarabuni bila kulipia gharama,hii njia wakala anakusanya watu wa kutosha kwa muda mrefu zaidi ili akiwapeleka wote kwa pamoja hata commission yake inakuwa kubwa,tofauti na akipeleka watu wachache wachache

Kwahyo ili wakala ashawishike kukupeleka kwa haraka ni Bora ulipie gharama anayohitaji
 
Bongo Kuna utajiri wa kuokota duu kwanini uende nje tena uarabuni ukateseke nasikia waarabu ni walawiti na watesaji sanaa......

Yaan muhindi anakuja na briefcase πŸ’Ό yake kachoka.....

Maisha bongo matamuu samaa
 
Haipo WhatsApp. Hebu tupe hatua zake kwa watu ambao tupo Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…