Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Habari zenu namba za wakala wa Turkey nishapata ila anahitaji madereva,operator,mafundi welding

Nauli na VISA anakuwa anakukata kwenye mshahara

NB: Unaonana na mturuki mwenyewe ila kama uko Dar es salaam
Kwa ambao hawana passport wanaweza fanyiwa mpango wa haraka passport zikapatiana? Je kwa udereva leseni wanahitaji daraja gani au lolote ilimradi uwe dereva
 
Vp mwenzetu umetoboa au bado upo mjini???
 
yap... tulipunguzwa... washikaji wali nyang'anywa sites nyingi sana
Kama bado Upo interested kwenda kufanya kazi abroad,nenda Mabibo makutano Kuna jengo linaitwa Georgious house ni first floor wanapeleka watu Qatar kwa nafasi za cleaner

Mpk sasa wamepeleka watu zaidi ya 60 kwa mwezi December na January....gharama zao ni makubaliano ya kuwalipa ukishaingia kazini

Kampuni Inaitwa Xbas recruitment
Wasiliana nao kupitia #0714334497

Utanipa feedback

Pia kampuni ya Gardaworld imeanza kujiajiri upya kama Utakuwa tayari kurudi kule
 
shukrani sana ndugu yangu... imekuwa bahati nimewatafuta na nimeshawasiliana nao...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…