Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Nimeishi nje ya Tz ki madomo miaka 6 sikuwahi kufurahia kuwa nje ya nchi yangu. Mbaya zaidi nlirudi tz mara moja tu nlipomaliza diploma nikarudi kudoma degree sikurudi tz hadi nlipomaliza. Binafsi sipendi kuishe sehem tofauti na tanzania
 
sio Dola 2330,apo katikati nimeweka mkato,meaning ni Dola 23 mpaka dola 30 Thats cheap
Hujaweka kodi, wenzetu mgeni kwao ananyanyasika sana. Kibali cha kazi unakilipia hela ndefu balaa tofauti wao wakija huku wanaolipa kibali ni mabosi wakubwa wenzetu na mm wanakula kitonga tu
 
Hujaweka kodi, wenzetu mgeni kwao ananyanyasika sana. Kibali cha kazi unakilipia hela ndefu balaa tofauti wao wakija huku wanaolipa kibali ni mabosi wakubwa wenzetu na mm wanakula kitonga tu
utalipaje kodi uku umenda kama tourist,na ukishaingia kwenye legion unakua kama france citizen
 
utalipaje kodi uku umenda kama tourist,na ukishaingia kwenye legion unakua kama france citizen
hio connection nimeifuatilia kw a umakini lakini tatizo ni kuwa wakikukataa itakauwaje? maana wana vigezo vyao
 
Achana na habari za agents wanakulia pesa zako kwa ujanja mdogo sana.
mkuu ukiwa na passport hakuna mtu atakuzuia kwenda dubai,unawaambia tu unakwenda kama mtalii au unakwenda semina tu wanakuruhusu unakwea pipa hakuna habari sijui za kupitia kenya wala nini.
Na pia habari za agents achana nazo ni stressful sana,ukitumia agents kuna changamoto zifuatazo.
1.kuna kuliwa pesa na kazi usipate
2.Kuna kuliwa pesa na kupatiwa kazi ya ajabu ambayo hutoipenda na wakati huo utakuwa kifungoni hutoruhusiwa kuacha mpaka baada ya muda fulani upite.
So ni bora uende mwenyewe ukatafutie huko huko kazi uipendayo.


Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Ume wafafanulia vzr sana vijana na huu ndio utaratibu mzuri, nadhani huwez kukosa kazi ya mkataba ktk miez yote mi 3 ulio pewa, lkn ungetoa na makadirio ya budget mtu awe na kiasi gani, kuna mtu mmoja alifafanua vzr sana njia hii anaitwa @Piret.....ila na hii Covid nayo tyr ina zingua

Screenshot_20211230-173115-1.jpg
 
0718 iko
Nimekaa nikafikilia maisha yamenipiga, kazi niliyokuwa nayo haikidhi kabisa mahitaji yangu ya kila siku, nina mke, nina mtoto, ninao ndugu wanao nitegemea, baba, mama na wadogo zangu mbaya zaidi mimi ndie kaka mkubwa wa familia, najiona kabisa nimeanguka, najiona napoteza uelekeo kila kukicha, nimekuja humu najua kuna watu wa hadhi na kariba tofauti tofauti, maana waswahili husema "mficha maradhi kifo humuumbua"

Nimehangaika kutafuta kazi, ni kweli nipo kwenye kazi ambayo mshahala ni 250k baada ya makato, huo mshahala unanifanya niishi kwa madeni hata kabla sijaupokea unakuwa teyari umeshaisha, sasa ndugu zangu kwa umri wangu huu 25+ najiona kabisa ndoto zangu hazitotimia, nikiwa na akili timamu ninaomba kwa yeyote mwenye connection ya ajira, ata ya ULinzi, na nyinginezo kwenye nchi za kiarabu haswa Doha, Qatar anisaidie pengine huko maslahi yanaweza kuongezeka.

Nimejaribu kufuatilia kwenye mitandao nakutana na maagency ambao wapo nchi za jirani inakuwa ngumu kwangu kuwafikia kwani wengi wao wapo Kenya ama Uganda.

Ndugu zanguni ni matumaini yangu kilio changu kiapatiwa ufumbuzi.

Elimu yangu ni ya kidato cha nne, sijasoma kihivyo ila ujinga wa kuelewa kingereza kidogo nimeuondoa hivyo ninaweza kingereza japo si sana.

VILE VILE mimi ni dereva wa magari...mwenye leseni yenye daraja A, A2, B, C1, C2, C3, D, E

vizuri?
 
Back
Top Bottom