Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

Msaada: Mwenye Filamu ya Zawadi Iliyochezwa na TASUBA Tafadhali Naomba Kiunganishi

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Wandugu wapendwa;

Naikumbuka hiyo filamu yenye mafunzo mengi na yenye kuburudisha ilichezwa mwanzoni mwa mwaka 2000, waigizaji ni wabobezi, wacheshi na wabunifu sana kutoka Chuo cha Sanaa Bagamoyo wakati huo, ilikuwa inaonyeshwa na Mlimani TV, mwenye nayo tafadhali tuburudike pamoja naomba kiunganishi.

Barikiweni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Zawadi na Rama


Kitambo sana Mlimani tV mwaka 2012
 
Back
Top Bottom