Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Salaam!

Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.

Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.

Asante.
 
Salaam!

Ningependa kufahamu mitandao (forums)ya Kimataifa yenye mada za Great Thinkers kama Jamii Forum. Nimejaribu kuangalia Jamii Forum Kenya na Jamii Forum Uganda lakini nimegundua asilimia kubwa ya wachangiaji bado ni sisi Watanzania.

Lengo la kutaka kujua hiyo mitandao ni ili niangalie utakaonifaa kujiunga kwa ajili ya kuweza kushare mada mbalimbali na wachangidji toka Mataifa mbalimbali.

Naamini, kupitia Great Thinkers wa humu Jamii Forum, nitaupata mwongozo utakaokidhi hitaji langu.

Asanteni.
 
Kama kuandika kiswahili tu mgogoro huko kwenye forum za kingereza unaenda kuandika nini?
 
Salaam!

Ningependa kufahamu mitandao (forums)ya Kimataifa yenye mada za Great Thinkers kama Jamii Forum. Nimejaribu kuangalia Jamii Forum Kenya na Jamii Forum Uganda lakini nimegundua asilimia kubwa ya wachangiaji bado ni sisi Watanzania.

Lengo la kutaka kujua hiyo mitandao ni ili niangalie utakaonifaa kujiunga kwa ajili ya kuweza kushare mada mbalimbali na wachangidji toka Mataifa mbalimbali.

Naamini, kupitia Great Thinkers wa humu Jamii Forum, nitaupata mwongozo utakaokidhi hitaji langu.

Asanteni.
 
Unaweza kuifuta au kuisahihisha kwa kubonyeza moderate
 
Ipo mingi sana mf Quora, Reddit,GitHub StackOverflow,StackExchange,Vanilla Forums n.k Hata hii Jamiiforum ipo customized kutoka IGN haijatengenezwa from scratch, No copy & paste
Samahani mkuu, nini maana ya IGN?
 
Salaam!

Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama Jamii Forum katika ngazi ya Kimataifa. Usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.

Ninapendelea forum zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.

Asante.

@JF nayo ni ya kimataifa. Hivyo jisikie huru kutoa hoja zilizo mtambuka kijiografia.

Lakini pia waweza kutembelea LinkedIn.
 
Back
Top Bottom