GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #41
Inawezekana sijaujulia wa LinkedlnYou are right. Lakini mimi sasa I'm obsessed with the #LinkedIn. Kule napata kila kitu ninachotaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana sijaujulia wa LinkedlnYou are right. Lakini mimi sasa I'm obsessed with the #LinkedIn. Kule napata kila kitu ninachotaka.
Inawezekana sijaujulia wa Linkedln
Mkuu, mpaka hapo umeshanihamasisha🙏. Huko si pa kukaa nako mbali. Ninapenda mitandao yenye "madini" ya ufahamu. Nitapatembelea!Bro kule ni shida.
Inaitwa professional network.
Kule kuna seasoned professionals, wanafundisha kwa moyo wote for free.
Nimewahi nafasi🙏Kuna moja tamu ya Kenya....ngoja nilete link
Mkuu, mpaka hapo umeshanihamasisha🙏. Huko si pa kukaa nako mbali. Ninapenda mitandao yenye "madini" ya ufahamu. Nitapatembelea!
🙏🙏🙏Kule unapata madini kulingana na taaluma unayoitaka bure kabisa kutoka kwa gurus from different corners of the world 🌎.
Kama hii...Hiv comment yako ikiandikwa moderate inakuwa na maana gani?
www.kijijiforums.com1. Kusoma mada zitakazonifaa
2. Kuuliza maswali
3. Kujibu maswali
4. Kupost mada mbalimbali.
Unaweza ukanipa mwongozo wa kuzipata forum husika?
Quora, redditSalaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.