Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

Msaada: Mwenye kufahamu mtandao wa Kimataifa kama JamiiForums

Quora ila upuuzi mwingi
Unakuta watu wanaeleze walivosex na baba mkwe
Eti sex with father in law experience.wahindi wapuuzi mno

Nilifunga account yangu baada ya kuona wananitumia vitu vya upuuzi. Eti nyie wanaume wa waafrika mna last longer on bed. Nikaona ni ujinga. Nikafungilia mbali.
 
Redcafe, ni ya man u lakini Ina majukwaa mengine yenye contents tofauti, ila kupata membership ni kazi kwelikweli, unafungua akaunti Kila siku unapewa post Tano tu ndo unaweza kupost huku mods wakizipitia Kuona kama una michango yenye tija, aisee unaweza kukaa mwaka bila kupata membership, so hata ukiwa verified huwezi kuandika ujinga maana Kule wakikufutia mpaka upate tena ni shida

Sio huku watu wanajaza mashudu tu
 
Mrejesho:

Asubuhi niliwasilisha ombi langu humu jukwaani kuomba kuelekelezwa forums za Kimataifa.

Nashukuru kwa ajili ya mwitikio chanya nilioupata. Miongoni mwa forums zilizopendekezwa ni pamoja na Reddit, Linkedln, Nairaland, Quora, Stack Exchange, Stackoverflow, Debate Politics, Vanilla Forums, na Redcafe.

Mpaka ninapuandika huu uzi, tayari nina "accounts" katika "forums" tatu: Reddit, Nairaland na Quora.

Shukrani zangu za dhati ziwafikie wote waliotoa ushauri na miongozo iliyoniwezesha kupata nilichokuwa nakitafuta.

Nawashukuru sana, na Mungu awabariki.
 
Salaam!

Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.

Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.

Asante.

Lipstick Alley.
 
Search forums (weka nchi unayotaka) zitakuja, pitia, amua unataka ipii
 
Nilifunga account yangu baada ya kuona wananitumia vitu vya upuuzi. Eti nyie wanaume wa waafrika mna last longer on bed. Nikaona ni ujinga. Nikafungilia mbali.
Wanazo mada nzuri pia. Nimechagua mada za kuzifuatilia: Saikolojia, Ujasiriamali, Uongozi, n.k.

Kwa jinsi nilivyoona, wako vizuri kwenye hilo eneo.
 
Back
Top Bottom