GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Shukran sana mkuu. Ngoja nicheki.Redit, linkin, nairaland,quora
Kama kuandika kiswahili tu mgogoro huko kwenye forum za kingereza unaenda kuandika nini?Salaam!
Ningependa kufahamu mitandao (forums)ya Kimataifa yenye mada za Great Thinkers kama Jamii Forum. Nimejaribu kuangalia Jamii Forum Kenya na Jamii Forum Uganda lakini nimegundua asilimia kubwa ya wachangiaji bado ni sisi Watanzania.
Lengo la kutaka kujua hiyo mitandao ni ili niangalie utakaonifaa kujiunga kwa ajili ya kuweza kushare mada mbalimbali na wachangidji toka Mataifa mbalimbali.
Naamini, kupitia Great Thinkers wa humu Jamii Forum, nitaupata mwongozo utakaokidhi hitaji langu.
Asanteni.
1. Kusoma mada zitakazonifaaKama kuandika kiswahili tu mgogoro huko kwenye forum za kingereza unaenda kuandika nini?
Kwahiyo hapa kuna great sinkers ety??Inaitwa debate politics huko ma great thinker wa ukweli na iko muundo HUU HUU wa JAMII FORUMS
Hawana app?Inaitwa debate politics huko ma great thinker wa ukweli na iko muundo HUU HUU wa JAMII FORUMS
Salaam!
Ningependa kufahamu mitandao (forums)ya Kimataifa yenye mada za Great Thinkers kama Jamii Forum. Nimejaribu kuangalia Jamii Forum Kenya na Jamii Forum Uganda lakini nimegundua asilimia kubwa ya wachangiaji bado ni sisi Watanzania.
Lengo la kutaka kujua hiyo mitandao ni ili niangalie utakaonifaa kujiunga kwa ajili ya kuweza kushare mada mbalimbali na wachangidji toka Mataifa mbalimbali.
Naamini, kupitia Great Thinkers wa humu Jamii Forum, nitaupata mwongozo utakaokidhi hitaji langu.
Asanteni.
Nj kweli mkuu! Shukran sana. Nimeiona!Inaitwa debate politics huko ma great thinker wa ukweli na iko muundo HUU HUU wa JAMII FORUMS
Samahani mkuu, nini maana ya IGN?Ipo mingi sana mf Quora, Reddit,GitHub StackOverflow,StackExchange,Vanilla Forums n.k Hata hii Jamiiforum ipo customized kutoka IGN haijatengenezwa from scratch, No copy & paste
Salaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama Jamii Forum katika ngazi ya Kimataifa. Usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forum zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.
😹😹😹 acha masihara sometimes kwenye mambo muhimu@JF nayo ni ya kimataifa