King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Vipi kwani amekupiga kwenye Mshono?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kwani amekupiga kwenye Mshono?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Wewe ni ccm, akili ndogo hata ukiambiwa hutaelewaToka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Mkuu kesi ni kesi tu. Asingenisaidia leo ningeua wapiWatu wanasaidiwa kushinda kesi za billions, sasa wewe kesi ya mimba?!
Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Kaka Mayalla ame "like" kwamba ameiona hiyo na ni Wakili Msomi mwenzie na Mwabukusi. Ngoja tumsubiri atupe majibu.Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Zako wewe umeshinda ngapi, mbona unafutilia sana mambo ya wengine? Na wewe fungua chapters, kurasa zako tuone umeshinda ngapi. Itoshe kusema tu kwamba awareness anayo fanya kwa waTanzania ni ya kutosha. wengine tuko humu JF kwa ID feki nyuma ya Keyboard na hatuko tayari kujulikana kwa majina yetu kamili. Ya nini kumfuatilia?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Kashinda rufaa ya Magoma.Vipi Yule wakili wa Yanga?? Naye kuna kesi aliwahi kushinda??
Tuanzie kwanza hapo kwenye kulazimisha kufahamika unamainisha nn?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Unataka za civil au criminal case?Ambacho hukuelewa ni kipi- leta orodha ya kesi alizofungua na kushinda
Sio kesi ya kibingwaMkuu kesi ni kesi tu. Asingenisaidia leo ningeua wapi
Pascal Mayalla njoo naona jamaa anakuletea madharau.Advocate Pascal Mayalla amewahi kushinda kesi ngapi?
Jibu swali ameshinda ngapi? Acha blabla.Naomba nifahamu umri wa mtoa mada then ndo nichangie.
Vipi hata ya sasa ya Mdude ameshindwa tena au?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
hicho ni kiwango cha juu cha chuki, itakuua.Tuanzie kwanza hapo kwenye kulazimisha kufahamika unamainisha nn?
Zee zima unahangaika na visichana vidogo vya shule ya msingi,si ni ujinga huo?Mkuu kesi ni kesi tu. Asingenisaidia leo ningeua wapi
Hajawahi, uwakili alipewa na mjomba wako.Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa