Zako wewe umeshinda ngapi, mbona unafutilia sana mambo ya wengine? Na wewe fungua chapters, kurasa zako tuone umeshinda ngapi. Itoshe kusema tu kwamba awareness anayo fanya kwa waTanzania ni ya kutosha. wengine tuko humu JF kwa ID feki nyuma ya Keyboard na hatuko tayari kujulikana kwa majina yetu kamili. Ya nini kumfuatilia?
Binafsi, nimemsikiliza huyo hakimu Magumashi wa Mbeya anasema kwamba Mdude hakupigwa na zile video pia zilikuwa za Uongo? hayo mambo yanatia sana hasira pale ambapo Mahakimu nao wanajifanya hamnazo hata judicial notice ya kinacho sambaa huku kwenye social media wanajifanya hamnazo wala hawajakiona wala kusimuliwa... ni ujInga sana wa hawa watoa haki kusema kwamba hajapigwa wakati humu kwenye mitandao video za kupigwa zina trend. Amkeni kama kengemkeni mito mingi. Dunia inaenda kasi sana na Internet kazi yake ni ku- document tu ushahidi- principle of estoppel inawahusu sana hao watoa haki.