secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Bora mimi ninayehangaika na visichana kuliko wewe unayejichua Kwa msaada wa uzi wa picha za warembo wakali world wide๐๐๐๐ .Zee zima unahangaika na visichana vidogo vya shule ya msingi,si ni ujinga huo?
Mkuu usitoke nje ya mada- ombi langu hapa ni kesi ambazo Wakili Mwambukusi amefungua akasimama kama wakili na akashindaZako wewe umeshinda ngapi, mbona unafutilia sana mambo ya wengine? Na wewe fungua chapters, kurasa zako tuone umeshinda ngapi. Itoshe kusema tu kwamba awareness anayo fanya kwa waTanzania ni ya kutosha. wengine tuko humu JF kwa ID feki nyuma ya Keyboard na hatuko tayari kujulikana kwa majina yetu kamili. Ya nini kumfuatilia?
Binafsi, nimemsikiliza huyo hakimu Magumashi wa Mbeya anasema kwamba Mdude hakupigwa na zile video pia zilikuwa za Uongo? hayo mambo yanatia sana hasira pale ambapo Mahakimu nao wanajifanya hamnazo hata judicial notice ya kinacho sambaa huku kwenye social media wanajifanya hamnazo wala hawajakiona wala kusimuliwa... ni ujInga sana wa hawa watoa haki kusema kwamba hajapigwa wakati humu kwenye mitandao video za kupigwa zina trend. Amkeni kama kengemkeni mito mingi. Dunia inaenda kasi sana na Internet kazi yake ni ku- document tu ushahidi- principle of estoppel inawahusu sana hao watoa haki.
Mkuu ndugu yangu, itoshe tu kusema kwamba anasimamia hii ya sasa, hata kama hashindi maana asiyekubali kushindwa si....Mkuu usitoke nje ya mada- ombi langu hapa ni kesi ambazo Wakili Mwambukusi amefungua akasimama kama wakili na akashinda
Huyo nindugu yangu nawajina wangu lakini hajawahi kushinda hata.kesi ya nguruwe zaidi zaidi anashinda na chadema kwenye mitandaoniAna impact kubwa sana kuliko washinda kesi
Siyo tu uanasheria mzuri ni kushinda kesi na siyo mawakili wote hushinda mahakamaniMkuu leta ushahidi hapa- ndio ninaoutafuta mimi ili nijue kama kweli yuko vizuri- mpaka sasa mimi sijaona umahiri wake naona kelele tu na uwanaharakati
Huyo nindugu yangu nawajina wangu lakini hajawahi kushinda hata.kesi ya nguruwe zaidi zaidi anashinda na chadema kwenye mitandaoni
YeahMagoma wa Yanga?
Mwambukusi ni nani kwanza?Mkuu anzisha uzi wako uombe na majibu yatakuja- huu uzi unahusu kesi ambazo mwambukusi kasimama kama wakili na kashinda
Mkuu diary ni matukio binafsi ila maoni ni mchango wa mtu katika mjadala waziMwambukusi ni nani kwanza?
Halafu jina la mtu [nomino ya pekee] unaanzaje kuliandika kwa herufi ndogo?
Wakili na rais wa TLS anaitwa Mwabukusi huoni wewe ndio umeanzisha uzi wa mtu hata usiyemjua jina lake?
Mwisho huwezi kunipangia jinsi ya kutoa maoni ,hapa usingetaka maoni tofauti basi ungeyaandika kwenye diary yako hayo maswali.
Una kesi?Toka amelazimisha kufahamika na kupata umaaurufu sijawahi kuonanashinda kesi yoyote mahakamani. Kama yupo anayejua tafadhali aiweke hapa
Hawa UWT ni wajinga snMwambukusi ni nani kwanza?
Halafu jina la mtu [nomino ya pekee] unaanzaje kuliandika kwa herufi ndogo?
Wakili na rais wa TLS anaitwa Mwabukusi huoni wewe ndio umeanzisha uzi wa mtu hata usiyemjua jina lake?
Mwisho huwezi kunipangia jinsi ya kutoa maoni ,hapa usingetaka maoni tofauti basi ungeyaandika kwenye diary yako hayo maswali.
Sahihi kabisa mkuu, tena alikuwa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali akaacha kazi kwa hiariBado tuna safari ndefu sana nchi hii, mpaka umejiuliza ujinga wako kichwani kuhusu Mwabukusi maana yake kuna impact fulani umeona lkn pia kwakuongezea tu kwa mazingira ya nchi yetu na mfumo wa kiutawala tulio nao kufika tu pale alipo maana yake amepambana sana vinginevyo hata wewe usingemfaham hata wewe