Tulipanga chumba kwa mkataba wa miezi 12.tukalipa fedha yote. Mwenye nymba kanipa notice niondoke mwezi wa kumi.
Nimeona nitafute chumba kingine,nimepata.Namtaka mama anipe hela yangu kwa miezi 3 (tsh.300,000/-)Amekataa anasema ananirudishia nusu ya kiasi hicho.
Sheria inasemaje hapo?

mkataba unasemaje? mkataba ndiyo mwongozo.
kama amekomaa kikichwa ngumu tu na wewe kuwa kichwa mbovu, mwambie hiyo laki na nusu hauchukui, tena mwambie umeghairi kuhama asubiri miezi yako iishe, usimwambie kiupole mwambie kwa ukali, kama ana akili timamu atakurudishia pesa ya miezi sahihi iliyobaki, kama akiendelea kujitoa akili wewe usichukue hiyo pesa, hamisha vitu vyako ndani acha hata neti tu kisha ufunge mlango, mwambie umeacha vitu vyako pango lako likiisha utakwenda kuvichukua, nzuri zaidi mpeleke mahakamani.
Nimeusoma mkataba uko vizuri tu,unasema kama landlord hatakuwa na haja ya kuendeleza mkataba atatoa notice ya kusudio lake miezi miwili kabla ya tarehe ya kuisha kwa mkataba