Msaada.Mwenye nyumba kasitisha mkataba ghafla

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Tulipanga chumba kwa mkataba wa miezi 12.tukalipa fedha yote. Mwenye nymba kanipa notice niondoke mwezi wa kumi.

Nimeona nitafute chumba kingine,nimepata.Namtaka mama anipe hela yangu kwa miezi 3 (tsh.300,000/-)Amekataa anasema ananirudishia nusu ya kiasi hicho.

Sheria inasemaje hapo?
 
Mkuu hukusoma mkataba unasemaje?? Au uliweka sahihi tu kama kawaida..
 
Tulipanga chumba kwa mkataba wa miezi 12.tukalipa fedha yote. Mwenye nymba kanipa notice niondoke mwezi wa kumi.

Nimeona nitafute chumba kingine,nimepata.Namtaka mama anipe hela yangu kwa miezi 3 (tsh.300,000/-)Amekataa anasema ananirudishia nusu ya kiasi hicho.

Sheria inasemaje hapo?

mkataba unasemaje? mkataba ndiyo mwongozo.
kama amekomaa kikichwa ngumu tu na wewe kuwa kichwa mbovu, mwambie hiyo laki na nusu hauchukui, tena mwambie umeghairi kuhama asubiri miezi yako iishe, usimwambie kiupole mwambie kwa ukali, kama ana akili timamu atakurudishia pesa ya miezi sahihi iliyobaki, kama akiendelea kujitoa akili wewe usichukue hiyo pesa, hamisha vitu vyako ndani acha hata neti tu kisha ufunge mlango, mwambie umeacha vitu vyako pango lako likiisha utakwenda kuvichukua, nzuri zaidi mpeleke mahakamani.
 
Nimeusoma mkataba uko vizuri tu,unasema kama landlord hatakuwa na haja ya kuendeleza mkataba atatoa notice ya kusudio lake miezi miwili kabla ya tarehe ya kuisha kwa mkataba
 
Mkuu Nahisi hujauelewa Mkataba vizuri..Notice anakupa miezi 2 kabla ya kodi yako kuisha k'ama haoni haja ya kuendelea na wewe..
Hakuna namna mwenye nyumba anaweza kukufukuza na wewe kodi yako bado haijaisha..labda kuwe na makubaliano ya pande zote...
Mbona suala lako dogo sana..
 
Mwizi akikuibia na ukimkamata unafanyaje?:angry:
 
Kwa kuwa yeye ndio amevunja mkataba anatakiwa akupe pesa yako yote unayodai tena alitakiwa akupe na usumbufu kwa kuwa muda wako kimkataba bado haujaisha kwa hiyo amekusababishia gharama na usumbufu wa kutafuta nyumba nyingine. Kama atagoma kukulipa mpeleke baraza la kata ( la ardhi) watakusaidia.
 
Back
Top Bottom