Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

Msaada Mwenye picha za decorations ya sebule naomba utupie hapa

Haya magypsum wabongo mnayapendea nini?

Sebule inakuwa na mambo mengiiiiii... INA-SHOUT!!!

Nyumba za mbele hawanaga haya mambo, nayaona kwa wabongo tu... na mbaya, wote mnaigana.
Nyumba za mbele wap uko mkuu au unazungumzia nyumba za kweny movies? Hayo mambo yote yanatoka uku uko mbele seme tu hujabahatika tu kuona ila ingia youtube uwone mbele uko watu wanavyozipendezesh nyumba na ayo magypsum 😁
 
Hata mimi nashangaa nyumba inakuwa kama upo disco toto,mimi ni muumini wa vitu simple
Yes, we call it Mimimalism... that's the way to go.

Sijui wabongo wanakwama wapi. Yani tv-showcase ni magypsum na mataa taa. Ukija kwenye ceiling board ni mataa taa tena ya rangi rangi....

Nyumba inakuwa inapiga kelele na haivutii... na chakushangaza, Wabongo wote wanaigana kufanya hivyo.

Huwa nashangaa sana, ni kwamba watu hawana expouser au hawajui vitu vizuri???
 
Nyumba za mbele wap uko mkuu au unazungumzia nyumba za kweny movies? Hayo mambo yote yanatoka uku uko mbele seme tu hujabahatika tu kuona ila ingia youtube uwone mbele uko watu wanavyozipendezesh nyumba na ayo magypsum [emoji16]
Mbele gani huko wanakoweka mataa-taa ya blue na nyekundu kwenye ceiling?
Sebule ina-shout kama ukumbi wa disco.

Unajua hata at least 2 interior design principles?

Nena PinInterest search "home decor ideas au " minimalist living room" au "Scandinavian interior" uone ninachozungumzia..

That's how "mbele" wanavyofanya.
 
Haya magypsum wabongo mnayapendea nini?

Sebule inakuwa na mambo mengiiiiii... INA-SHOUT!!!

Nyumba za mbele hawanaga haya mambo, nayaona kwa wabongo tu... na mbaya, wote mnaigana.
Bwana wee miye nashangaa sana yani mbwebwe kibao in three years sebule inakuwa kituko maana fashion inakuwa out dated sijui kwanini wabongo tunashindwa kufanya vitu simple and classic
 
Nyumba za mbele wap uko mkuu au unazungumzia nyumba za kweny movies? Hayo mambo yote yanatoka uku uko mbele seme tu hujabahatika tu kuona ila ingia youtube uwone mbele uko watu wanavyozipendezesh nyumba na ayo magypsum [emoji16]

Wanafanya very simple And Neat..

Hawajazi makorokoro hivyo
 
Mbele gani huko wanakoweka mataa-taa ya blue na nyekundu kwenye ceiling?
Sebule ina-shout kama ukumbi wa disco.

Unajua hata at least 2 interior design principles?

Nena PinInterest search "home decor ideas au " minimalist living room" au "Scandinavian interior" uone ninachozungumzia..

That's how "mbele" wanavyofanya.

Hizi ni sebule au night clubs?
Sebule za Instagram na face book hizo😂😂
 
Wakuu mambo vipi nahitaji kudecoration sebule mwenye picha kali za decorations naomba atupie apa niweze kumuonyesha fundi wangu aweze kunijengea.
1669477427559.jpg
 
Haya magypsum wabongo mnayapendea nini?

Sebule inakuwa na mambo mengiiiiii... INA-SHOUT!!!

Nyumba za mbele hawanaga haya mambo, nayaona kwa wabongo tu... na mbaya, wote mnaigana.
Hatuwezi wote kufanana. Kila mtu aweke kwa jinsi inavyompendeza.
 
Haya magypsum wabongo mnayapendea nini?

Sebule inakuwa na mambo mengiiiiii... INA-SHOUT!!!

Nyumba za mbele hawanaga haya mambo, nayaona kwa wabongo tu... na mbaya, wote mnaigana.
Huna hela za kuweka kaa kimya na hizo nyumba za mbele ni za kupanga unaanzaje kuweka vitu ambavyo hujaruhusiwa ww baki na umaskini wako watu tunaweka tena kila after year tunabadili maana zinabadilishika ni ww na hela yako tu ila umaskini wako peleka kuleeee
 
Back
Top Bottom