Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Jamani naombeni msaada mwenye kujua taarifa (publicly available information, sihitaji taarifa za kumchafua) huyu binti anayejiita Malkia Sitti.
Ni 'kadada karembo flani hivi' anatembelea gari ya Hyundai imendikwa jina lake la Malkia Sitti kwenye plate number.
Ni kasista duu flani hivi lakini ninavyoona ni kako charming na hakana mashauzi kama masista doo wengine. Hivyo kutokana na sifa zake hizo nikatokea kuvutiwa naye... Kwa kuwa sikuweza kuongea naye mengi zaidi ya salam ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada wa taarifa zaidi ili nione kama ninaweza nikajiongeza au kama ni maji marefu na sio size yangu...
Huyu dada anapatikana sana Dar nadhani anapatikana zaidi maeneo ya Kinondoni na maeneo ya Lidaz (ambako ndipo nilipokutana naye)...