Msaada: mwenye profile ya malkia Sitti

Msaada: mwenye profile ya malkia Sitti

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,728
Jamani naombeni msaada mwenye kujua taarifa (publicly available information, sihitaji taarifa za kumchafua) huyu binti anayejiita Malkia Sitti.
Ni 'kadada karembo flani hivi' anatembelea gari ya Hyundai imendikwa jina lake la Malkia Sitti kwenye plate number.
Ni kasista duu flani hivi lakini ninavyoona ni kako charming na hakana mashauzi kama masista doo wengine. Hivyo kutokana na sifa zake hizo nikatokea kuvutiwa naye... Kwa kuwa sikuweza kuongea naye mengi zaidi ya salam ndio maana nimekuja hapa kuomba msaada wa taarifa zaidi ili nione kama ninaweza nikajiongeza au kama ni maji marefu na sio size yangu...
Huyu dada anapatikana sana Dar nadhani anapatikana zaidi maeneo ya Kinondoni na maeneo ya Lidaz (ambako ndipo nilipokutana naye)...
 
Unamzungumzia sitti mtemvu mtoto wa alokuwa mbunge wa tmk????


Miss tz alovuliwa taji??
 

Attachments

  • 1450221070132.jpg
    1450221070132.jpg
    44.1 KB · Views: 626
kumbe sitti kijeba mama wa mtoto nyumbani,alievuliwa taji la ulimbwende bongo...?
 
Oooh! Kumbe ndio huyo? Asanteni kwa taarifa walimwengu. Kama ndio huyo basi si wa levo zangu... Ni tawi la juu. Sitaki ugonjwa wa moyo... Ngoja tu nitulie na Chausiku wangu...
 
ndo kusema chausiku angebwagwa kama malkia angekuelewa msitari yako....???
 
Dar es salaam watu wengi wamekosa kazi za kufanya, wapo wapo tu.
 
Back
Top Bottom