Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

Lidafo

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
889
Reaction score
1,789
Habari wana jamii forum!
Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali.
Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa wangu kwanza juu ya hayo maswala. Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom