Ooh kama ni hivyo sawa!Ndugu vyuo vya serikali unavyoapply kupitia nacte ni vya afya na elimu TU. Vingine vyote hata kama ni vya serikali unaapply kwenye websites za vyuo husika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh kama ni hivyo sawa!Ndugu vyuo vya serikali unavyoapply kupitia nacte ni vya afya na elimu TU. Vingine vyote hata kama ni vya serikali unaapply kwenye websites za vyuo husika.
Hamna kitu mkuu hawajaweka new updateView attachment 1479350
asante sana tena sana.Umeipata taarifa ya NACTE iliyotolewa Leo kufungua dirisha la udahili?
Kama bado udahili unaanza leo June 15 hadi Septemba 15 Mwaka 2020.
Kazi kwako pamoja na wale wote ambao walikua wakisubiria taarifa hii.
Acha ubishi .. angalia hapo mwanzo kabisa kwenye quick links
Mbona mambo ni maraisi sana fuata maelekezo wanayokuambiaMwongozo wa namna ya ku apply nacte utafaa Sana hapa
MAOMBI YA VYUO NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA 2020/2021.Mwongozo wa namna ya ku apply nacte utafaa Sana hapa