Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 310
- 1,100
Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi hata kama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee.
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa hata kichwa nje niangalie, hii hali inanitesa sana kwa kweli, sijui itachukua muda gani kusahau haya majanga ya ndoa..
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa hata kichwa nje niangalie, hii hali inanitesa sana kwa kweli, sijui itachukua muda gani kusahau haya majanga ya ndoa..