Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 310
- 1,100
Mbezi beach mkuuWapi huko unapo-pagawa watu waje ?
Sikuyumba sana japo moyo ndio uliyumba sana bossDah pole sana
Vipi kwani kiuchumi umeyumba pia?
Kama hujayumba unanguvu ya kuyasahau na kuyatokomeza kabisa
Mkuu kweli matatizo unayopata mwingine anaweza kuona kama kichekesho ila pole sana piga moyo konde tutafanyanje na maisha ndo haya hayaTokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi atakama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee ,ata nikiwa kwenye dalala nitatoa ata kichwa nje niangalie ,hii hali inanitesa sana kwa kweli sijui itachukua mda gani kusahau haya majanga ya ndoa. .
Asante sanaMda mwingine mshukuru sana Mungu umejua makucha yake. Atakuja kukuua siku moja ufundishe moyo kumsahau. .
Kabisa kuna hakuna maumivu yanauma kama kukimbiwa na MKE. Mke ni Dunia nyengineMkuu kweli matatizo unayopata mwingine anaweza kuona kama kichekesho ila pole sana piga moyo konde tutafanyanje na maisha ndo haya haya
Pole sana mkuuKabisa kuna akuna maumivu yanauma kama kukimbiwa na MKE. Mke ni Dunia nyengine
Mpelekee zawadi ya chupi, ipake dawa, kama UMUGHAKA alivyo mpelekea RehemaTokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi atakama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee.
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa hata kichwa nje niangalie, hii hali inanitesa sana kwa kweli sijui itachukua muda gani kusahau haya majanga ya ndoa. .
Huoni huyu tabibu anavyoipambania ndoa yake.
Kuachana ni kitu kibaya sana.
Daktari wa mwaka.Tabibu nani
Yatapita.Tokea wife kuondoka na vitu vyandani na kuniacha kama alivyonikuta 2017 jamani shida inakuja kila nikiona kirikuu kimebeba vitu yaani mtu anahama 🤣🤣 nahisi kama wife anarudi atakama nikiwa nakula nitaganda na kusindikiza kwa macho kirikuu mpaka kipotee.
Hata nikiwa kwenye daladala nitatoa hata kichwa nje niangalie, hii hali inanitesa sana kwa kweli sijui itachukua muda gani kusahau haya majanga ya ndoa. .