Msaada: Nahitaji kuanzisha Kampuni ya kuuza na kusambaza Chips

Msaada: Nahitaji kuanzisha Kampuni ya kuuza na kusambaza Chips

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Mimi ni mbobezi wa uuzaji chips na jamii ninayo ilenga ni ile ya kipato Cha Kati kushuka chini,

Hapa namaanisha nawalenga wateja ambao mlo mmoja wangependa kutumia Kati ya tsh 1000-3500 au 4000. Hapo ni chakula na kinywaji

Wakati naanza nilidhani ni jamii ndogo ya watanzania wenye uhitaji huu wa chakula Cha Bei hizo na kizuri, hapa namaanisha

Chips kavu - 500, 1000, 1500
Chips mayai - 1500, 2000, 2500
Mishikaki ya kuku - 500
Nyama za kuku - 1500, 2000, 2500
Ndizi - 300, 500

Nimekuja kujua kwamba kumbe jamii kubwa Sana inahitaji huduma hizi

Nahitaji kuanzisha kampuni ya kuuza chips kwa ku-deliver kwa wateja WALIOPO makazini na majumbani, huduma zikianza SAA tatu asubuhi mpaka saa sita usiku.

Kwa kuchangia gharama za usafir ikiwa mbali lakin free ikiwa chin ya 2km

UKIWA KAMA MTEJA WA CHIPS NA MUHANGA WA SHIDA YA CHAKULA UKIWA KAZINI, UNANISHAURI NINI NA UNADHANI NAWEZA KUFANIKIWA KWA KIASI GANI?

NAPOKEA MAONI, NA USHAURI
ASANTE.

IMG_20220426_111234_838.jpg
IMG_20220425_125547_471.jpg
IMG_20220416_222934_020.jpg
IMG_20220429_180857_813.jpg
IMG_0146.JPG.jpg
IMG_0178.JPG.jpg
 
Attachments

  • image_2022-04-19_19-21.jpg
    image_2022-04-19_19-21.jpg
    61.3 KB · Views: 37
Deriver ni jambo zuri lakini sidhani kama litakuwa na impact saana... kwa ninavyoona mimi ungeongeza ofisi kila sehem uwe na ofisi yako.. mfano magomeni 1 mwananyamala 1 ilala 1
hapa ndo utapiga sana pesa
 
Aidia yako ni nzuri ila asianze na ofisi nyingi kwa wakati mmoja,aanze na moja baada ya miezi mitatau mitatu mbele ndio afungue nyingine
 
Deriver ni jambo zuri lakini sidhani kama litakuwa na impact saana... kwa ninavyoona mimi ungeongeza ofisi kila sehem uwe na ofisi yako.. mfano magomeni 1 mwananyamala 1 ilala 1
hapa ndo utapiga sana pesa
Wazo lilivyo nikwamba kila maeneo kutakua na point Ila kutakua na main point ambayo itadill na odda kubwa yaan watu 10-50 na zile za kila sehem zenyewe zinahudumia kwa zone maalumu
 
Back
Top Bottom