Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Mimi ni mbobezi wa uuzaji chips na jamii ninayo ilenga ni ile ya kipato Cha Kati kushuka chini,
Hapa namaanisha nawalenga wateja ambao mlo mmoja wangependa kutumia Kati ya tsh 1000-3500 au 4000. Hapo ni chakula na kinywaji
Wakati naanza nilidhani ni jamii ndogo ya watanzania wenye uhitaji huu wa chakula Cha Bei hizo na kizuri, hapa namaanisha
Chips kavu - 500, 1000, 1500
Chips mayai - 1500, 2000, 2500
Mishikaki ya kuku - 500
Nyama za kuku - 1500, 2000, 2500
Ndizi - 300, 500
Nimekuja kujua kwamba kumbe jamii kubwa Sana inahitaji huduma hizi
Nahitaji kuanzisha kampuni ya kuuza chips kwa ku-deliver kwa wateja WALIOPO makazini na majumbani, huduma zikianza SAA tatu asubuhi mpaka saa sita usiku.
Kwa kuchangia gharama za usafir ikiwa mbali lakin free ikiwa chin ya 2km
UKIWA KAMA MTEJA WA CHIPS NA MUHANGA WA SHIDA YA CHAKULA UKIWA KAZINI, UNANISHAURI NINI NA UNADHANI NAWEZA KUFANIKIWA KWA KIASI GANI?
NAPOKEA MAONI, NA USHAURI
ASANTE.