Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nina Hisa za NMB bei ya sokoni n 2,340 hisa moja, lakn mm nauza 2,100 kwa hisa moja. NMB n shirika ambalo linazid kupanda thamani mm nauza sababu ya shida ya Ada tu. Faida n kubwa cz thaman inapanda, nauza pungufu na unapata dividend kila mwaka. Nitakupa form ujaze na certificate utaipata kwa muda mfupi. Ukiwa interest nichek nikupe mwongozoHabari zenu wakuu, msaada nataka kununua hisa za bank yoyote inayofanya vizuri hapa Tanzania, naombeni maelekezo naenda wapi kufungua account au nanunua wapi? ofisi zipo wapi? mimi nipo Dar Es Salaam, asante
CRDB asithubutu. Mimi nipo huko, hawafanyi vizuri kabisa. Natamani kutoka, lakini bei ya kuuza hisa ni hasara tu.Je unataka hisa za benki za nje au ndani?
Unataka hisa za gharama nafuu au bei ya wastani?
Anyway! CRDB ni best option, kadiri ya history ya RoI (Return on Investment.
Tembelea tawi lolote kubwa la CRDB au DSE kupata broker
Yaaah, I know that pia Ndo maana nimemueleza afike DSE aangalie kampuni zinazofanya vzr kwenye kugawa dividends zao au ageukie treasure bonds za kule BOTCRDB asithubutu. Mimi nipo huko, hawafanyi vizuri kabisa. Natamani kutoka, lakini bei ya kuuza hisa ni hasara tu.
Mkuu naomba unipe ufafanuzi kidogo kuusu Treasure bond na inaitajika kiasi gani kununuaAchana na hisa kanunue Treasure Bonds za serikali BOT utakuja nishukuru.
Bora ununue NMB. Mimi nipo huku CRDB zaidi ya miaka 10. Nina uzoefu wa kutosha huku. Nina hisa zinakaribia 3000, lakini gawio ninalapata ni kidogo sana. Mfano mwaka huu nimepata sh. 43,000/=.Mkuu naamini sasahivi zitapanda thamani kwasababu watu wengi watakimbilia mabank kwasababu ya hizi tozo ndio maana namimi nimeona niwekeze huku mapema
Sawa kabisa. Ushauri wako ni mzuri.Yaaah, I know that pia Ndo maana nimemueleza afike DSE aangalie kampuni zinazofanya vzr kwenye kugawa dividends zao au ageukie treasure bonds za kule BOT
Ni kuanzia 500,000 nadhaniAsante mkuu, hivi Treasure Bonds za BOT inaruhusiwa kuanzia shilingi ngapi? je nakua napata faida kila mwezi kama ilivyo fixed account ya miaka miwili ambayo kila mwezi nakuta bank wameniwekea faida?
Umeongea vizuri SanaMkuu nikushukuru tu kwanza kuanza kufikiria kuwekeza, Napenda kushare na wote machache niyajuayo ili yawe na manufaa zaidi ktk jamii yangu. Nimejifunza sana kuhusu hisa na mambo ya bond miaka ya hivi karibuni na nina uelewa wakuweza kukusaidia wewe ambaye ndo unaanza (sina miaka 10 sokoni)
IKO HIVI
Kweny uwekazaji wwte muda ni jambo la muhimu sana sana. Leo nanunua hisa za CRDB sio kwamba nina malengo ya kutengeneza faida kesho au wiki ijayo HAPANA leongo langu ni miaka 10 hadi 15 kutoka leo. Hii leo Buffet anapiga gawio la zaidi ya 2B kweny hisa za cocacola si kwamba amewekeza jana hapana ni kitu alichokianza muda mrefu uliopita na bado kinamlipa hadi leo.
Sio lazima kwenda bank ndo upate ABC za hisa zao, unaweza kuwasiliana na broker na akakupa ushirikiano wote unaouhitaji na ukakamilisha kila kitu ndani ya masaa machache ukawa na uwezo wa kununua hisa kupitia simu/pc yako ukiwa nyumbani au popote.
Binafsi namtumia Solomon stock brokers ambaye hadi sasa amenisaidia kupata kila ninachohitaji na kwa wakati, unaeza kuwauliza lolote kweny insta account yao wako active sana.. hata mimi kuwapata nilisoma sana makala za watu na maandiko kadha wa kadha hapa hapa jukwaani na nikaona watu wamewarecomend so ukiona yakufaa unaeza kuwatumia pia.
HISA ZA BANK
Binafsi Bank ni moja kat ya hisa ambazo niliamua kufa nazo kwa kununua kila mwezi hadi nitakaporidhika. Kwa sasa hakuna bank yenye hisa za bei ndogo kama CRDB ila hiyo isiwe sababu ya wewe kununua. Kwanza fanya utafit wako na muulize broker utayempata kulingana na muda unaotaka kuwekeza atakushauri vizuri sana jinsi na ni bank gani uweke mzigo. Kuna mwenzetu nimeona anasema anapata gawio la sh 43,000 kwa hisa 3000 anazomiliki ni sawa na 9% ya pesa alowekeza kwa mwaka.
Ipi bank bora ikija kweny RoI
CRDB-----Mwaka jana 1M ungepata hisa 4,348 CRDB 230 na ungepata gawio la Tsh 22 kwa kila hisa sawa 95,656
NMB-----Mwaka jana 1M ungepata hisa 417 NMB @2400 na ungepata gawio la Tsh 137 kwa kila hisa sawa 57,129
Ukiangalia mfano ulopita hapo juu utaelewa ni ktk Bank ipi ukinunua hisa zake unatengeneza faida kubwa kuliko mwenzake. Kwa 1m yule wa CRDB anapata faida karibu ya 1m ya NMB. Hapa nadhani ushaupata mwangaza wapi uweke mzigo.
Kuna capital gain pia kutoka mwaka jana CRDB ilipanda hadi kufika 300@hisa na sasa imeshuka inachezea kweny 270 ila NMB wameshuka hadi kufka 2340 ila pia hakuna wanunuaji ndo sababu umeona mdau hapo juu amekupa ofa ya 2100 kwa hisa ambayo n bei ya hasara kulingana na soko lilivyo leo. Hisa zinazouzika sana sokoni CRDB anaongoza ukiwa unauza unapata wateja na ukiwa unanunua unapata wauzaji kwa haraka tofauti na Bank zingine.
BONDS
Hizi pia ukiwasiliana na broker atakuelekeza namna ya kufungua account online na utapata calender ya BOT na hapo utaona ni lini wanauza dhamana gani ili uweze kuweka mzigo mezani broker akutafutie nafasi ya kuikopesa serikali na huku siri ni kuweka miaka mingi huko ndo wana riba kubwa zaidi. Kwa mfano ukiweka miaka 20 au 25 unapata 15% kila mwaka hadi miaka 20/25 ipite ndo urudishiwe principle amount ulowekeza. ukiweka 1m kwa mwaka unapokea 150,000 isiyokatwa kodi yeyote na unakua unalipwa direct na BOT. mambo ni mengi ni wewe tu kuamua. Lolote ambalo sijaeleweka nipo tayari kukosolewa na kujifunza zaidi.
Bank zote ni mawakala wa BOT kwenye Bond za serikali unaweza tembela bank yako kwa maelezo zaidi au nenda BOT.Asante sana, hii naona ndio the best. Nikitaka kuweka niende ofisi zipi?
Bank zinafanya biashara. Ile pesa unaweka fixed acc ndo wanaiwekeza kwa bonds hivyo sidhani kama hao ni watu wazuri wakukufundisha wewe jinsi ya kupata faida wanayoipata wao badala yake wanataka uweke kwao wakupe 5% P.A na wao wakamenye 16% P.A bila Tax.Bank zote ni mawakala wa BOT kwenye Bond za serikali unaweza tembela bank yako kwa maelezo zaidi au nenda BOT.
Au nenda kwa mawakala wa soko la hisa la DSE utapewa michakato
CRDB asithubutu. Mimi nipo huko, hawafanyi vizuri kabisa. Natamani kutoka, lakini bei ya kuuza hisa ni hasara tu.
Mkuu me binafsi nimeipenda BOND......so ili niweke mzigo naanzaje process au mpaka nimwone brokerMkuu nikushukuru tu kwanza kuanza kufikiria kuwekeza, Napenda kushare na wote machache niyajuayo ili yawe na manufaa zaidi ktk jamii yangu. Nimejifunza sana kuhusu hisa na mambo ya bond miaka ya hivi karibuni na nina uelewa wakuweza kukusaidia wewe ambaye ndo unaanza (sina miaka 10 sokoni)