Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

Msaada: Nahitaji kufahamu jinsi ya kununua hisa

Acha uongo mkuu. Tatizo mnanunua hisa za laki moja mnategemea kupata pesa nyingi. Mimi baba yangu ana hisa milioni moja na nusu CRDB na mwezi jana kapata milioni 24 kama gawio ya 2020. Watu mnanunua vi hisa vya milioni moja mnategemea kupata milioni 100. Wabongo bana. Mambo ya hisa waachie wenye pesa nyingi
Sio kwamba mzee wetu angewekeza mahala pengine bora zaidi angepata gawio bora zaidi? Mfano kwenye bond za serikali kama mdau alivyoeleza hapo juu.
 
Back
Top Bottom