Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

Fanya ufanyavyo fika morogoro mapema ndio utafutie usafiri wa mwanza hapo.. kuna gari nyingi sana zinapita moro muda wote.
 
Siku hizi bus ni 24hrs labda kama unataka kutuonesha una maisha ya kuweza kupanda ndege

Sent using Jamii Forums mobile app
PXL_20230713_112949162.jpg
PXL_20230713_070843174.jpg


Ndege kupanda kawaida mkuu,hata wewe ukiamua usafiri wako uwe ndege unaweza.
 
Kuna basi 24 hrs , sa mbili usku unaamsha DSM , sa 4 asubh upo mwanza , Ila kiukweli ifikie hatua serikali iruhusu mashirika shindani ya ndege , Kwa mwanza abiria ni wengi mno wa ndege , Yani ndani ya masaa 24 hupati tiketi asa ndo nini
View attachment 2772705
Tangu lini 02:00 ikawa ni saa 2 usiku? Upo zako kaunta unakunywa beer tu.
 
Back
Top Bottom