Nasikia harufu ya ukweli machungu hapaSoko la construction kwa sasa limechacha... Kazi zote anachukua TBA, TEMESA, NHC pia ni contractor... Halmashauri zimeshauriwa kutumia force account kukarabati majengo yao na mashule.. Who knows, TANROADS naye ataingia kwenye game maana vifaa anavyo vya kutosha tuu...
Contractors wengi wako kimya kwa sababu wana kazi mikononi at the moment, but after two or three years wakishakabidhi kazi zako, utasikia kelele zao...
So think deeper before you do that investment.. The game ain't that easy at the moment..