Msaada: Nahitaji kufungua kampuni ya ujenzi

Soko la construction kwa sasa limechacha... Kazi zote anachukua TBA, TEMESA, NHC pia ni contractor... Halmashauri zimeshauriwa kutumia force account kukarabati majengo yao na mashule.. Who knows, TANROADS naye ataingia kwenye game maana vifaa anavyo vya kutosha tuu...

Contractors wengi wako kimya kwa sababu wana kazi mikononi at the moment, but after two or three years wakishakabidhi kazi zako, utasikia kelele zao...

So think deeper before you do that investment.. The game ain't that easy at the moment..
Nasikia harufu ya ukweli machungu hapa
 
Usiogope changamoto, ukandarasi unaweza kuwa tajiri siku moja pia unaweza firisika siku moja. Wabishi tunakomaa hatuogopi. Karibu kwenye familia yetu
Nashukuru sana kwa mchango wako mkuu!!, vp hiyo 10% wanaitaka kutoka kwenye project au inatoka mfukoni?
 
Changamoto ni network ya kupata kazi, maana Mara nyingi kazi zinatolewa kwa kujuana,ukifaulu hilo mengine yanajipeleka yenyewe,pia zingatia kufanya kazi kwa kufuata contract, zaid waweza kunifuta ini box kwan mm in Eng in Civil hivyo baadh nayajua kwani ndo fani yangu
 
Kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi (hardwares za aina zote)
Steel doors, Marine boards, gypsum boards, plywood, silingboard, steel bars (BS 500 kamal) multi colored tile, galvanized iron sheet, color steel tile aina zote, safety gears zote door locks aina zote nails vinapatikana vya bei nafuu na unaletewa mpaka ulipo ndani ya Dar

Nicheki kwa namba hizi 0768029967
 
Heshima kwenu wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kufungua kampuni ya ya ujenzi, nataka kufanya both building & civil works, naomba kufahamishwa juu ya mambo makuu mawili,

1. Challenges za kazi hizi ni zipi hasa?

2. Vipi kuhusu soko la ushindani, hasa kwa mtu anayeanza?

Ahsanteni!
Weka roho yako katika hiyo biashara, ninaamini kuwa hakuna kitu chochote ambacho binadamu anashindwa kukifanya kama akitaka kwa roho na moyo wote...mzuiaji mkubwa wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe! Nakutakia kila la kheri ndugu yangu na Mwenye Enzi Mungu akutangulie!
 
Heshima kwenu wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kufungua kampuni ya ya ujenzi, nataka kufanya both building & civil works, naomba kufahamishwa juu ya mambo makuu mawili,

1. Challenges za kazi hizi ni zipi hasa?

2. Vipi kuhusu soko la ushindani, hasa kwa mtu anayeanza?

Ahsanteni!

Kama huna connections bora mtaji ulionao uende ukaanzishe kilimo au other innovative idea. Hii bongo sio.
 
Kwa mahitaji ya vifaa vya ujenzi (hardwares za aina zote)
Steel doors, Marine boards, gypsum boards, plywood, silingboard, steel bars (BS 500 kamal) multi colored tile, galvanized iron sheet, color steel tile aina zote, safety gears zote door locks aina zote nails vinapatikana vya bei nafuu na unaletewa mpaka ulipo ndani ya Dar
 
Heshima kwenu wakuu!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kufungua kampuni ya ya ujenzi, nataka kufanya both building & civil works, naomba kufahamishwa juu ya mambo makuu mawili,

1. Challenges za kazi hizi ni zipi hasa?

2. Vipi kuhusu soko la ushindani, hasa kwa mtu anayeanza?

Ahsanteni!
Mkuu ni pm namba yako nafanya construction kwa 3 years sasa ntakumegea uzoefu wa maelekezo
 
Nimekuelewa, Me nafikiri TBA na NHC wanafanya project za buildings tu, mostly wanafanya zile project kubwa kubwa,hii nafikiri ita-affect kampuni kubwa kwa kiasi kikubwa, sijui, Labda na wao watacompete kupata project ndogo ndogo, Civil projects bado zinafanyika kwa mfumo uliozoeleka, hata kama Tanroads watakuja nafikiri watafanya kazi za highways, me nataka nianze na class 6 mkuu, nafikiri project za huku ni za kawaida!
I challenge you to follow your passion.
 
Unaweza kutumia diploma/technicians katik kazi zako. Ambao mishahara yao midogo ila wanaefficiency kubwa.. Na niwachapa kazi..

Uctumie maengineer wengi
 
Nnavyojua kampuni hamna kampuni inafanya building na civil works..its either iwe building au iwe civil works but not both. Pitia web ya CRB!
Are you sure??
Vituvingine kama hamnvifahamu kwa undani usiandike ukanonekana na wewe unajua...
 
Aiseee!! Ndio maana nikaanza na "nnavyojua" sasa je wewe unajua nini??? BTW ni Mda sana tuliandika hii post...ila kuna mdau amesha rekebisha hapo juu!!

Unakaribishwa kama una maoni mkuu!!
 
Nimesajiri kampuni pia moja ya objective ni hii ya ujenzi ni daraja gani zuri kuanza nalo

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nnavyojua kampuni hamna kampuni inafanya building na civil works..its either iwe building au iwe civil works but not both. Pitia web ya CRB!
Si kweli,hilo lawezekana..mbona Estim wanajenga barabara na majengo pia..mfano..barabara ya msata to chalinze wamejenga..mwenge to morocco..na hizi za sasa za pale makumbusho bus stand wanajenga..majengo..zile tallest twin towers posta..na haya ya morocco square pale morocco ya nhxc wanajenga wao...elerai...wanajenga majengo moshi na roads wanafanya pia..ts possible..ni uwezo waupana wa kampuni na resources...hivo vitu havitenganishiki..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom