Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Fanya lobbying kwanza ndio njia pekee, nyingine nenda msata handeni Kwa msisiri kamroge huyo bosi wako acha uzembe dogo, au nenda pangani Kwa wazee, pale mwalongo njia ya pangani kamfunge huyo bwege akuachia tena ataandika barua mwenyewe, acha ufala tumia njia rahisiBado sijachelewa kuna mtu kanishauri hivyo kuwa niache kazi ndani ya saa 24 kwa kumlipa mwajiri wangu mshahara wa mwezi mmoja ,ila kuna mwingine kanionya hiyo ni trap kwani nikifanya hivyo nakosa sifa ya kuwa mtumishi tena katika maisha yangu, sijui nani mkweli hapa...