Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Fanya lobbying kwanza ndio njia pekee, nyingine nenda msata handeni Kwa msisiri kamroge huyo bosi wako acha uzembe dogo, au nenda pangani Kwa wazee, pale mwalongo njia ya pangani kamfunge huyo bwege akuachia tena ataandika barua mwenyewe, acha ufala tumia njia rahisiBado sijachelewa kuna mtu kanishauri hivyo kuwa niache kazi ndani ya saa 24 kwa kumlipa mwajiri wangu mshahara wa mwezi mmoja ,ila kuna mwingine kanionya hiyo ni trap kwani nikifanya hivyo nakosa sifa ya kuwa mtumishi tena katika maisha yangu, sijui nani mkweli hapa...
Taasis kama TPDC, PSPF nk hawana check numberKwanza hakuna taasisi ya serikali ambayo hakuna check no
Duh hayaFanya lobbying kwanza ndio njia pekee, nyingine nenda msata handeni Kwa msisiri kamroge huyo bosi wako acha uzembe dogo, au nenda pangani Kwa wazee, pale mwalongo njia ya pangani kamfunge huyo bwege akuachia tena ataandika barua mwenyewe, acha ufala tumia njia rahisi
Baadhi ya taasisi najua ni chache bado hazitumii mfumo wa lawssonCheki namba ninayo lakini wanavyosema kuwa hatuko kwenye mfumo wa lawson wa utumishi
Nashukuru sanaKama ulipo hakuna lawson wewe sepa tu sababu huko unakoenda unaenda kama fresh mwajiriwa ila huko uliko kungekuwa na check no ingekuwa ngumu kuondoka bila ruhusa ya mwajiri wako A
Wanaita cheki namba ila wenyewe wanasema hii sio cheki namba ,sasa tunaishi hivyo hivyo ,ukiuliza kwanini hii cheki namba lakini nyie mnasema sio cheki namba ,wanajibu soon zitakuja cheki namba zile zenyewe then tutaingizwa kwenye lawson.... sasa hii tuliyopewa sijui tuitaje! I wish nitaje jina la taasisi ila nitakuwa nafanya makosa kiutumishi. Nashukuru pia kwa respond yakoAwali umesema hiyo taasisi haitoi check number
Baada ya challenge umekubali kuwa una check number.
Rekebisha hapo juu kwenye post number 1.
Si wote wanasoma post zote wengi husoma post number 1 tu.
Hapo ukijichanganya utakosa vyote. Hapo endelea kumlamba boss wako akuachie au pitia mlango wa nyuma utumishi direct wakuhamishe wao na boss wako apewe barua ya taarifa tu
Usithuhutu kutoa full information humuWanaita cheki namba ila wenyewe wanasema hii sio cheki namba ,sasa tunaishi hivyo hivyo ,ukiuliza kwanini hii cheki namba lakini nyie mnasema sio cheki namba ,wanajibu soon zitakuja cheki namba zile zenyewe then tutaingizwa kwenye lawson.... sasa hii tuliyopewa sijui tuitaje! I wish nitaje jina la taasisi ila nitakuwa nafanya makosa kiutumishi. Nashukuru pia kwa respond yako
Ahaaa Basi sawa 😂😂Hata sisi hatupo kwenye Lawson
Andika barua kwenda utumishi dodoma ya kuhamia taasisi B kutoka taasisi A. Barua hiyo iwe na anuani zifuatazo. Juu kulia anauani yako . Chini kushoto ipitie yaani k.k kwa bosi wako wa sasa na juu yake anuni ya katibu mkuu utumishi...zen mpe bosi wako hiyo barua asaini ...haijalishi atakoment nini kisheria lazima asaini na agonge muhuri ....akiweka koment mbaya wewe usijali ...utaichukua hiyo barua pamoja na hiyo barua ya ajira mpya toka taasisi B utapeleka utumishi kuwadhibithishia kuwa wewe ni mwajiriwa taasisi A ila umepata nafasi taasisi B hivyo wao ndio wanajukukumu la kukuhamishaNAWASHUKURU WOTE MLIONIJIBU MAJIBU NA USHAURI NIMEUPOKEA KWA MIKONO MIWILI , MAJIBU MENGINE MAZURI ,MENGINE YANAVUNJA MOYO ILA WOTE MUNGU AWABARIKI...SISI NI VIJANA BADO TUNATAFUTA FURSA NZURI ILI TUSIJE SINGIZIA NDUGU WABAYA HUKO UZEENI.. hiki nilichokiuliza hapa ni moja ya mapambano yangu katika kujikwamua zaidi
Peace ndugu zako hakika leo nimeona umuhimu wa kuwa karibu na great thinker hapa nimepata kwa mwanga juu ya maamuzi yangu nitakayofanya
Kama kuna mahali nimekosea basi naombeni msamaha
SHUKRANI
ShukraniHuwezi fanya chochote mpaka ufikishe mwaka hiyo ndio sheria hivyo kaa kwa kutulia unaweza ukakaa hapo wakakuundia zengwe.