Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

Msaada: Nahitaji kujifunza udereva na kupata cheti pamoja na leseni kwa ujumla

Huyo mleta mada ni mwenyeji wa Magomeni Mapipa sio Mimi mkuu, nilikua nampa uelekeo wa sehemu ya karibu na eneo alilopo au ulitaka aje kwako Tegeta?
Sasa mbona ulini quote mimi, halafu kwenye uzi sijaona sehemu mtoa mada ametaja anaishi wapi, zaidi ya kutaja mkoa
 
Sasa mbona ulini quote mimi, halafu kwenye uzi sijaona sehemu mtoa mada ametaja anaishi wapi, zaidi ya kutaja mkoa
Amesema anaishi Tabata mkuu 'Jadda' uwe unatulia kidogo,
 
Amesema anaishi Tabata mkuu 'Jadda' uwe unatulia kidogo,
Hilo hajalisema kwenye uzi kaja kulisema kwenye comments, baada ya wewe kuwa umesharopoka kuwa anaishi magomeni tena kwa kuniquote mimi, wewe ndio unatakiwa utulize hilo wenge lako
 
Kwa driving course itakayoendana na ratiba zako binafsi, nenda Amazon college iliyokaribu na unapoishi au unapopiga mishe zako.

Gharama;
Ada yao ni TZS 260,000/= kusoma na kupata cheti
Then TZS 70,000/= kupata leseni.
Jumla kuu: TZS 330,000/=

Muda : Mwezi mmoja.

ℹ️ Click below for more information 👇🏽
 
Back
Top Bottom