Msaada: Nahitaji kujua gharama za Ultra sound

Msaada: Nahitaji kujua gharama za Ultra sound

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,417
Reaction score
5,579
Habari,

Niko katika harakati za kutaka kumsaidia matibabu girlfriand wangu,anasumbuliwa na infection katika kizazi ingawa haijajulikana wazi ni ipi hasa sasa kuna suggestion imetolewa kwamba anahitajika afanyiwe ultra sound mapema zaidi ili kusije kuwa na complications kwenye uzazi wake.

Kwa wale ambao mlishawahi kukitumia na wenye ufahamu nacho naombeni mnisaidie maelezo juu ya gharama ya hiki kipimo na je kinakuwa covered na bima ama ni lazima nikilipie kwa cash?Nina bima ya NHIF na CHF.
 
Hizo bima kama ni mali yako huwezi kutumia kumtibu huyo gf ila kama chf ulimwandika kama ni mtegemezi wako. Na upande wa NHIF kama anayo ya kwake huyo gf wako.
 
Asante sana Evelyn Salt ni hospitali ipi itakuwa rahisi kupata hiko kipimo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom