Msaada: Nahitaji kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na Vyama vya Wafanyakazi

KKS

New Member
Joined
May 16, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Naomba kujua utaratibu wa Mtumishi wa Umma kujiunga na vyama vya wafanyakazi.

Ni halali mtumishi kuanza kukatwa mshahara wake bila idhini yake na kuchangia vyama vya wafanyakazi? Hatua gani zinaweza kuchukuliwa dhidi ya mtu au chama kilicbokata pesa ya Mtumishi bila idhini yake?
 
Kibongo bongo huwa wanaanza kukata hata bila makubaliano na wewe mfanyakazi.

Mambo yanaenda kienyeji sana.
 
Back
Top Bottom