Msaada: Nahitaji kujua wapi nitapata daktari wa kutibu matege kwa watoto

Subiri afikishe hiyo miaka miwili. Ukienda tena CCRBRT jaribu kumtafuta Dr Lui(Luijisyo) atakupa na Elimu kuhusu matatizo ya mwanao.
 
Subiri afikishe hiyo miaka miwili. Ukienda tena CCRBRT jaribu kumtafuta Dr Lui(Luijisyo) atakupa na Elimu kuhusu matatizo ya mwanao.
Poapoa mkuu..anapatikana wapi?
 
Kuna hosp moja ipo ukitoka makambako kama unaelekea Mbeya ni maarufu sana ni ya KKKT nimeisahau jina pale kuna mtoto mmoja namfahamu alikua na matege yale unaweza piga mpira ukapita kati vzr tu ila ss ukimwona utasema alinyooshwa kwa rula. Hebu jaribu huko pia
 
Asante mkuu
 
Nenda muhimbili moi kuna ndugu yangu alimpeleka mtoto wake alipewa viatu kama buti akavaa kwa miezi6 yakanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…