ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
Amen RAAsante sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen RAAsante sana mkuu
Kuna hosp moja ipo ukitoka makambako kama unaelekea Mbeya ni maarufu sana ni ya KKKT nimeisahau jina pale kuna mtoto mmoja namfahamu alikua na matege yale unaweza piga mpira ukapita kati vzr tu ila ss ukimwona utasema alinyooshwa kwa rula. Hebu jaribu huko piaWakuu poleni na majukumu,naombeni msaada wenu ni wapi nitapata daktari kwa ajili ya matibabu kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu anaonekana kuwa na matege ..Pia nimewahi kumpeleka ccbrt niksambiwa nimrudishe akifika miaka miwili hawakumpatia tiba yoyote..nitashukuru kwa msaada wenu na Mungu awabariki.
Nawakilisha
Asante mkuuKuna hosp moja ipo ukitoka makambako kama unaelekea Mbeya ni maarufu sana ni ya KKKT nimeisahau jina pale kuna mtoto mmoja namfahamu alikua na matege yale unaweza piga mpira ukapita kati vzr tu ila ss ukimwona utasema alinyooshwa kwa rula. Hebu jaribu huko pia
Nenda muhimbili moi kuna ndugu yangu alimpeleka mtoto wake alipewa viatu kama buti akavaa kwa miezi6 yakanyookaWakuu poleni na majukumu,naombeni msaada wenu ni wapi nitapata daktari kwa ajili ya matibabu kwa mtoto wa mwaka mmoja na nusu anaonekana kuwa na matege ..Pia nimewahi kumpeleka ccbrt niksambiwa nimrudishe akifika miaka miwili hawakumpatia tiba yoyote..nitashukuru kwa msaada wenu na Mungu awabariki.
Nawakilisha
Kivip?Mlishe dagaa miguu hiyo itanyooka mpaka ushangaee..! Serious
Safi nilisahau jina la huyu doct huyu ndio suluhishoNenda Muhimbili Jengo la MOI muone Dr Paul Mareale. ...atakwambia ukweli kitu cha kufanya. ..
Amen RASafi nilisahau jina la huyu doct huyu ndio suluhisho