Mkuu inategemea na source ya hiyo kitu,wengine ni kwa kukosa vitamin d,Hivyo huwa wanashauri ,wengine inakua ni Instability tu ya Magoti hivyo kupelekea hyper extension ya knees,Yawezekana Severity ya hilo tatizo la Mtoto wako si kubwa sana na hivyo itajiresolve kadiri mtoto atakavyozidi kukua ila cha kuzingatia ni diet yenye wingi wa vitamin d na Calcium,Exposure ya watoto pia katika jua linalochomoza asubuhi lina reach of vit d,As well as unaweza kusaga dagaa na kuchanganya katika unga wa uji,mchuzi wa samaki,maziwa etc zina Calcium kwa ajili ya kuimarisha Mifupa,Local techniques wakati mwingine zinatumika kama kucorrect with serial castings au Operation (osteotomy) inaweza kufanyika ila kama hilo tatizo limekuwa severe na umri unaruhusu.