Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Habari Wadau,
Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.
Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.
Thanks in advance.
Owkay Mtuflani,utaratibu upo hivi... inabidi uende loan board ukachukue statement ya fedha jumla ulizo kopeshwa,unalipa 25 percent halafu ndipo unaomba upya.Habari Wadau,
Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.
Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.
Thanks in advance.
Kwa nini hutaki kwenda loan board kuuliza hii issue yako? Mnapenda kutafuniwa kila kitu. Acha usumbufu.
Kusoma bachelor degree ya pili ni vizuri zaid kwani itakuongezea ushindani katika soko la ajira na pia kuweza kufikia hayo mlengo yako.
Usikate tamaa, ni vitu vya kawida sana nchi za nje.
Suala la bodi ya mkopo mi nadhani uende makao makuu ukapate maelezo zaidi mwenyewe, ila utaratibu wa zamani ilikikuwa unalipa kwanza robo ya mkopo ulochukua mwanzo ndio upate mwingine ila kwa sasa sina hakika juu ya hilo, maan mambo hubadilika kila leo.
pia kuna exception sikuiweka kwenye post ya kwanza. Hiyo kitu ipo applicable katika kozi za art vs b'ness na sayansi kuja art/biashara. Kwa upande wa arts/biashara kufanya pgd ya sayansi ili uifanyie master ni ndoto.
Hata sayansi kuna sehemu huwezi kutumia hyo njia ili kudeviate master yako from first degree mfano md, archtech, civil, elect, n.k

Habari Wadau.
Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.
Thanks in advance.