Msaada: Nahitaji kusoma Bachelor degree ya pili

Msaada: Nahitaji kusoma Bachelor degree ya pili

Habari Wadau,

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.

Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.

Kwa nini hutaki kwenda loan board kuuliza hii issue yako? Mnapenda kutafuniwa kila kitu. Acha usumbufu.

Habari Wadau,

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.

Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.
Owkay Mtuflani,utaratibu upo hivi... inabidi uende loan board ukachukue statement ya fedha jumla ulizo kopeshwa,unalipa 25 percent halafu ndipo unaomba upya.
 
Last edited by a moderator:
Kusoma bachelor degree ya pili ni vizuri zaid kwani itakuongezea ushindani katika soko la ajira na pia kuweza kufikia hayo mlengo yako.
Usikate tamaa, ni vitu vya kawida sana nchi za nje.

Suala la bodi ya mkopo mi nadhani uende makao makuu ukapate maelezo zaidi mwenyewe, ila utaratibu wa zamani ilikikuwa unalipa kwanza robo ya mkopo ulochukua mwanzo ndio upate mwingine ila kwa sasa sina hakika juu ya hilo, maan mambo hubadilika kila leo.

Ahsante mkuu naona wewe umenielewa. Tanzania tunacomplicate sana elimu wakati nchi za nje ni jambo la kawaida tu. Poa me ntawachecki hao wakuu nione nafanyaje.
 
pia kuna exception sikuiweka kwenye post ya kwanza. Hiyo kitu ipo applicable katika kozi za art vs b'ness na sayansi kuja art/biashara. Kwa upande wa arts/biashara kufanya pgd ya sayansi ili uifanyie master ni ndoto.
Hata sayansi kuna sehemu huwezi kutumia hyo njia ili kudeviate master yako from first degree mfano md, archtech, civil, elect, n.k

Na kutoka koz za engineering kwenda science kama maths au computer science ni lazima pgd?? Na kutoka civil kwenda masters ya comp engineering nayo inakuaje??
 
pia kuna exception sikuiweka kwenye post ya kwanza. Hiyo kitu ipo applicable katika kozi za art vs b'ness na sayansi kuja art/biashara. Kwa upande wa arts/biashara kufanya pgd ya sayansi ili uifanyie master ni ndoto.
Hata sayansi kuna sehemu huwezi kutumia hyo njia ili kudeviate master yako from first degree mfano md, archtech, civil, elect, n.k

Shukrani mkuu, umetufungua sana
 
Achana na hizo habari, fanya Masters
 
Mkuuu una degree ya education ninii??? Unajaribuuu kuikwepaaa faniiiiii
 
Labda urudie form four. Bodi ukichomeka namba ya form four tuu wamekudaka. Hawatoi mkopo mara mbili wale.
 
Habari Wadau.

Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine. Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.

Thanks in advance.

Acha ubinafsi km una shahada moja tayari basi ifanyie kazi.Lipa mkopo uliokopeshwa ili na watanzania wengine wapate fursa ya elimu ya juu.Ukifanya kazi na kupata pesa basi jisomeshe mwenyewe hata shahada nyingine nyingi tu km Mugabe.Ila usirudi Bodi ya Mikopo utawazibia wengine wakose.Mwaka huu mamia ya wanafunzi wamekisa mikopo kwa sababu mbalimbali hiyo yako inaweza kuwa mojawapo.Ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom