Mwanamalundi
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 3,125
- 1,435
Habari Wadau,
Mimi nmehitimu chuo this year ila nina mpango mwakani wa kusoma bachelor degree nyingine.
Naomba msaada wa procedures hasa pale loans board ili niweze pata mkopo tena sababu TCU najua hawana shida.
Thanks in advance.
Kwa nini hutaki kwenda loan board kuuliza hii issue yako? Mnapenda kutafuniwa kila kitu. Acha usumbufu.