Msaada: Nahitaji kutengeneza 15,000 Tsh kwa siku

Msaada: Nahitaji kutengeneza 15,000 Tsh kwa siku

Kama wewe sio mtu mzima sana ni bado kijana flani mchangamfu fanya hivi.
Chukua hiyo laki moja nenda kkoo maduka ya vitenge unaomba kuiweka rehani hapo kisha unapewa vitenge vipya pc 4 unazotundika mabegani unaingia nazo changanyikeni mitaa hiyo hiyo ya soko kuwasaka wateja hasa wageni, unawakaribisha dukani ulipochukua vitenge.
Ukiwapata wawili watatu kwa siku wanakutosha.
Pale dukani kila mteja utakaempeleka kila kitenge atachochukua unapewa buku 1 so unaweza pata hata hiyo 15 elfu hata mpaka laki kwa siku inategemea na bahati na uchakatikaji wako.
 
Kwani wakati wa vuli unaweza lima Forex? Sio kwamba zinapostawi matunda yake yanapeperushwa na upepo kirahisi?

Sasa we unasema 200k inatosha, wakati bado gharama za dawa za kuulia wadudu, gharama za uendeshaji. Hiyo siiwezi kwa kweli
 
Kijiwe cha kusafisha kucha kwa wadada
Mi ni muoga kwa watoto wa kike ambao sijawazoea, ntaishia kutetemeka vidole kwa kweli. Pia wabobevu wanasema pesa ya mwanamke hailiwi kizembe, eti pesa hubadilishwa na kuwa papuchi. Siwezi timiza malengo kwa namna hii.

N.B: Nazipenda linda zangu
 
Sawa
 
Nenda sokon nunua parachichi za bei chini 200 ambazo ni nzuri alafu kauze sehemu yenye mchanganyiko wa watu kwa 400. Utakuja kunishukuru
 
Kwani wakati wa vuli unaweza lima Forex? Sio kwamba zinapostawi matunda yake yanapeperushwa na upepo kirahisi?

Sasa we unasema 200k inatosha, wakati bado gharama za dawa za kuulia wadudu, gharama za uendeshaji. Hiyo siiwezi kwa kweli
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Kumbe forex ni mazao any way hicho kilimo hutokiweza
 
Nunua mikanda ya suruali zile za mitumba nzuri zenye ubora sana halafu tembeza kwenye maduka
Wengi matajiri wanavaa believe me na wanaitafuta OG

Weka faida yako 50%
 
Tafuta sehemu iliyochangamka fungua genge la mazaga zaga kwa hiyo 200k utaweza PATA hata 40k kwa siku
 
Back
Top Bottom