Msaada: Nahitaji majina ya watoto wa Kike na Kiume ya Kiafrika, yasiwe ya Kizungu, Kiarabu wala Kiswahili

Pole sana mtoa mada,vumilia,watakuja walioelewa ombi lako,watu wameambiwa wasikutajie majina ya Kiswahiliswahili,lakini wao wanataja tu,umeomba atakayetaja jina,ataje na maana yake,watu wanataja tu,umesema wabainishe majina husika,kama ni ya JINSI ipi,wao wanataja tu,aisee.Vumilia,watakuja mkuu.
 
Wendo.. Kigogo.. Wende kibena.. Maana yake upendo au huruma za Mungu.
Madovena... Kingoni.. Nimesahau maana.
Lusungu... Ni kihehe na kibena maana yake Huruma. Ni jina la kiume.
Atu.. Atupele.. Kibena, kihehe, sijui kinyakyusa.. Maana yake alitupata ni Mungu.. Jina la kike.
Anosisye.. Amependeza.
 
Nimeipenda hii, shukran sana
 
Ndio tulivyo, hata kwenye mitihani na interviews tunafeli hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…