Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,656
- 6,886
Ungetaja kabila lako coz majina ya kiafrika yamegawanyika kulingana na makabila yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh nawaona waarabu watupu hapoKiafrika kipoje toa mfano ...unataka kama
Zuma,
Tshangirai
Kaunda
Kagame
au
Sadiki
Salama
Rehema
Mawingu
Amani
Nuru
Furaha
Minza ni (Ke) ni Sukuma maana yake ana roho ya ubinadamu na MkarimuNimependa sana
Wendo.. Kigogo.. Wende kibena.. Maana yake upendo au huruma za Mungu.Rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kupata majina ya mtoto wa kike au wa kiume, majina yawe ya kiasili ya Afrika na sio ya kikoloni kwa maana ya Kizungu au Kiarabu, kwa upande wa majina ya Kiswahili pia sitaki, mfano wa majina ya kiswahili ni kama Sikitu, Shida, Masumbuko, Mwamini, Majaliwa, Chuki, n.k
Tafadhali nipe jina na maana yake pia nijulishe ni la jinsi ipi ke au me,
Karibuni wadau.
Huyo dishi jepesi mpaka limeyumbaaa 😂Haya ni ya Kiafrika kweli?
Manyema kutoka DRCUngetaja kabila lako coz majina ya kiafrika yamegawanyika kulingana na makabila yetu
Nimeipenda hii, shukran sanaWendo.. Kigogo.. Wende kibena.. Maana yake upendo au huruma za Mungu.
Madovena... Kingoni.. Nimesahau maana.
Lusungu... Ni kihehe na kibena maana yake Huruma. Ni jina la kiume.
Atu.. Atupele.. Kibena, kihehe, sijui kinyakyusa.. Maana yake alitupata ni Mungu.. Jina la kike.
Anosisye.. Amependeza.
Minza 🤗 wowMinza
Minza ni (Ke) ni Sukuma maana yake ana roho ya ubinadamu na Mkarimu
MiziziMmmh nawaona waarabu watupu hapo
Our Queens/Ancestor kwa Watu wa Mwanza/Shinyanga/Simiyu na Wilaya zake especially kwa kabilaWasukumaMinza 🤗 wow
Ndio tulivyo, hata kwenye mitihani na interviews tunafeli hivi hiviPole sana mtoa mada,vumilia,watakuja walioelewa ombi lako,watu wameambiwa wasikutajie majina ya Kiswahiliswahili,lakini wao wanataja tu,umeomba atakayetaja jina,ataje na maana yake,watu wanataja tu,umesema wabainishe majina husika,kama ni ya JINSI ipi,wao wanataja tu,aisee.Vumilia,watakuja mkuu.
Ungemtajia tu "zulu" my friend😅Pamela
Pendaeli
Betina
Roza
zena